Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
tumempata mzee wa bao la mkono furaha ilioje wapinzani wajiandae na maumivu ya magoli ya mkono tunaanza na chad
Uteuzi wa Nape kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii umepokewa kwa mikono miwili wadau wa sekta husika kutokana na ushiriki wa Ndugu Nape kwenye tasnia hizo. Nape aliye na ufahamu na ujuzi mkubwa wa sekta ya utamaduni, michezo na usanii kutoka kwa mzazi wake atakuwa ni mhimili mkubwa wa maendeleo ya michezo nchini. Wadau wa tasnia hii ni wakati wa kutumia uwepo wa Nape katika wizara hii kuboresha ushiriki wa Tanzania kimataifa. Tumuombee Nape aweze kutimiza majukumu yake kikamilifu!!