Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah kweli kuna mdogo nilimuombe amepata procurement and supply dah poa sana
kwaiyo second round mkopo NIL
Check out list of selected student on CBE website College of Business Education - Home
Hayo ni majina ya walio apply direct chuoni na sio kupitia TCU
hiyo ni list ya wanafunzi walio apply direct kwenye chuo husika na sio kupitia TCU
Mi nliomba cbe kama second choice na MUST kama first,CBE hawajanichagua na nimewapigia wakanambia hayo ndo majina waliyoletewa na tcu!hvo kwa sasa wanasubir tu majina toka NACTE na sio kua hao ndo walioomba direct kama mkuu mmoja alvosema!
dah ndugu kidogo umeniunguzia stress maana tcu siwaelewi kabixa , me nime apply udsm , sua , na ImTU Naomba tuendelee kushtuana tukisikia loloteYeah majina ya walioapply degree
ina maana majina yaliyotoka ni kwa walio apply direct tu:? kama ndo hivyo majina kutoka tcu kwa selection za vyuo vyote ni lini if anyone hv an idea?Mi nliomba cbe kama second choice na MUST kama first,CBE hawajanichagua na nimewapigia wakanambia hayo ndo majina waliyoletewa na tcu!hvo kwa sasa wanasubir tu majina toka NACTE na sio kua hao ndo walioomba direct kama mkuu mmoja alvosema!
bachelor selected students by tcu 2013 waliochaguliwa ni through tcu sema tcu imesubmit majina kwa chuo husika kabla ya wao wenyewe tcu ku publish kwenye website yao ... lakini waliokua selected ndo hao hao ambao tcu imewaselectkwann wactoe kwa pamoja na vyuo vyote? Pia mamraka ya kutoa majna ipo chin ya tcu au chuo?