Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Joined
Mar 14, 2015
Posts
85
Reaction score
105
Hayawi hayawi sasa yamekua serikali imetegua kitendawili na kusema kuwa wataajiri walimu na wataalamu wa maabara mwezi huu wa nne baada ya ofisi ya raisi kutoa kibali cha ajira

View attachment 241961

Chanzo: Tanzania Daima
 
Kaka ulivyoandika mpaka nimekuonea Huruma . Unaonyesha kabisa ww ni mwalimu uliyekosa ajira .

Hakuna gazeti lililoandika hiivyo leo ,zaidi walichoandika ni mngoje waangalie sehemu uenye mahitaji ndipo hapo wawapange. Sasa Akili kichwani kwako Hayo mahitaji?Jiulize maswali haya

1. Hayo mahitaji yapo kwa kiwango gani . ?
1. Je wataangali sehemu yenye maahitaji kwa mda gani. ?
3. Je watakaohitajika na ww utakuwepo . ?

Poleni .
 

Acha unanga ww tamko lishatoka
 

mkuu wala huna haja ya kuona huruma ni kweli mi ni mwalimu na nimeshasign contract tangu mwaka, jana hizi za serikali wakipenda watoe wasipopenda waache..ila nawanyetisha vijana wenzangu kuhusu post hizi kama zilivyosomwa na Denis Mwasalanga wa RFA
 
tatizo la elimu ya tz inaandaa watu kuajiriwa maofisini tu.
 
Mwalimu wa primary analipwa Tsh ngapi kwa mwezi?
 

Chiz ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…