Acha unanga ww tamko lishatoka
wanakurupuka kukomenti bila uhakika hao achana nao,,tamko lishatoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unanga ww tamko lishatoka
Mwalimu wa primary analipwa Tsh ngapi kwa mwezi?
Mzigo huo hapo
Mzigo huo hapo
Njaa hata mimimkuu unanjaa km mimi naona upo makini sn kufuatili hizi habari!
Sisi walimu hadi raha one way kwenye ajira may so mbali mwalimu hoyeee!!!
Haya magezeti nayo mbona kama yanachanganya hivi!!!
watu wanafuta pesa kwa kuuza nakala nyingi za magazeti.