Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Mzigo huo hapo
 
Attachments

  • 1428647867464.jpg
    1428647867464.jpg
    70.5 KB · Views: 1,249
Jana hadi mwakani leo wataajiri lipi ni lipi.
Jana nani alisema kama wataajiri mwakani?
Leo rais amesema wataajiri elf 34

Hii serikali yetu haijulikani nani ni msemaji na yupi mtekelezaji
 
kwa masikio yangu nimesikia magazeti ya leo asubuhi ,gazeti la TANAZANIA DAIMA likisomwa katika kituo cha ITV ,lasema serekali kuajiri walimu 34,000 .

,ajira bado hajatoka limesema mwezi huu huu yatatolewa majina.
Allah sw atujaalie tuwemo na tupate maeneo yanayokalika.
BY:2014/15.
NENDA KANUNUE TANZANIA DAIMA la LEO UPATE HABARI KAMILI.
 
kwa masikio yangu nimesikia magazeti ya leo asubuhi ,gazeti la TANAZANIA DAIMA likisomwa katika kituo cha ITV ,lasema serekali kuajiri walimu 34,000 .

,ajira bado hazijatoka limesema mwezi huu huu yatatolewa majina.
Allah sw atujaalie tuwemo na tupate maeneo yanayokalika.
BY:2014/15.
NENDA KANUNUE TANZANIA DAIMA la LEO UPATE HABARI KAMILI.
 
watu wanafuta pesa kwa kuuza nakala nyingi za magazeti.

Ukweli nikwamba gazeti hili toka jana linazungumza hii ishu kwakuwa wamejua ndo trending ishu kwa watu wengi so lazima mtu akiona ataenda nunua ukifikiri kwa akili ya kibepari people make money for this story. Bora ww ndugu umelijua hili
 
Back
Top Bottom