Kumbe hata hujui kwamba polisi wanaposho? We ziro kweli.anashindwaje kuwapa posho sawa na maaskari japo laki tatu hawa walimu waliopo madarakan hebu kumbukeni hii kada muhimu
anashindwaje kuwapa posho sawa na maaskari japo laki tatu hawa walimu waliopo madarakan hebu kumbukeni hii kada muhimu
aghaa Mkuu simuyu soma Tena Mkuu nimesema anashindwaje( rais)kuwapa posho( walimu) sawa na maaskari. hapo endelea mwenyewe mana umesoma ki mwendo kasi labda mkuuKumbe hata hujui kwamba polisi wanaposho? We ziro kweli.
kwakukazia wange weka hata elfu hamsini katikati ya mwezi kwa walimu.
ila walimu wenyewe nahisi kuna tatizo kwa nin huwa hawapendani hata mwalimu awe na cheo ama nafasi vipi ya kumsaidia mwalimu hasubutu kufanya hivyokwakukazia wange weka hata elfu hamsini katikati ya mwezi kwa walimu.
tetesi za july zimeanza tena augustNasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
mkuu uhakiki umeisha nn??Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji16] umetumbuliwa silent ww utakuwa chadema una kadi ya ccmUongo mtupu mm mwenyewe ni Mratibu sijapata hiyo allowance