Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu hawana umuhimu kama polisi wanaomsaidia kusalia madarakani na kupambana na operesheni UKUTA/UKAWA kila kukicha.anashindwaje kuwapa posho sawa na maaskari japo laki tatu hawa walimu waliopo madarakan hebu kumbukeni hii kada muhimu
Hilo jamaa Simiyu Yetu huwa linakurupukaga kutoka usingizini na kujibu hata vitu lisivyovijua....ni la ovyo sana.aghaa Mkuu simuyu soma Tena Mkuu nimesema anashindwaje( rais)kuwapa posho( walimu) sawa na maaskari. hapo endelea mwenyewe mana umesoma ki mwendo kasi labda mkuu
Hizi tetesi hazina mwisho mkuu...kuna zingine za septemba tena. Eti wadakuzi wa mipasho wanajipa matumaini hewa kuwa september mishahara itapanda....sijui itatokana na bajeti gani...labda zitamegwa kutoka bejeti ya kuhamia dodoma....ambayo haijaidhinishwa na bunge.tetesi za july zimeanza tena august
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya shule maana ni za mwalimu mkuu na si mtu fulani ila cheo. Hongereni wenye vyeo
Ukipewa hata hicho kidogo shukuru Allah...kwa kuanzia sio mbaya...Magufuli tunaimani kubwa na wewe sisi walimu na hatutakubali kushikishwa ukuta...anashindwaje kuwapa posho sawa na maaskari japo laki tatu hawa walimu waliopo madarakan hebu kumbukeni hii kada muhimu