Tetesi: Hatimaye serikali yalipa allowance kwa walimu

Kama ni wakuu tuu,basi molari na kufelisha zaidi kuna ongezeka sn.
Wapewe wote
 
Ni kweli na ela zimelipwa tangu alhamisi
Lazima kuwepo na nidhamu mbele ya mkuu wako,lazima ukubali huyu ni mkuu wako na unatakiwa uheshimu cheo chakebasi na mbona manager anakua na mshahara mkubwa wakati wanaofanya kazi ni watumishi wengine?au kwavile yeue ni mwalim
 
kwani hakuna walimu wakuu humu wathibitishe taarifa hizi badala ya kuendelea kuwa tetesi
 
Hamjaelewa hiyo ni hela ya matumizi madogomadogo kwa walimu wote kama chai na vyapati vyapati, msosi wa mchana na vitu kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…