Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hiyo pesa Waarabu walitoa mara 4 yake ili wamvue Chinga Boy ila Tajiri Mwamedi akapanda dau zaidi kumbakisha.Mbona dau lake heavy sana?! 820m
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo pesa Waarabu walitoa mara 4 yake ili wamvue Chinga Boy ila Tajiri Mwamedi akapanda dau zaidi kumbakisha.Mbona dau lake heavy sana?! 820m
Ila baada ya July31 atakua free agent kwa hiyo ni makubaliano ya mchezaji na teamMbona dau lake heavy sana?! 820m
Hiyo sini Euro 300 au naona vibayaMbona dau lake heavy sana?! 820m
Hiyo Th huko mwisho unadhani ni Thilingi?Hiyo sini Euro 300 au naona vibaya
Anacheza pembenii?Kiungo cha kwenye Biriani.
Inshort nmecheki clips zake Ni wale madogo wa mbwembwe nyingi zisizokuwa Na faida kama Neymar vile
Ndo mwenyeweHuyu sio yule alikuja na team ya malawi juzi kati hapa anachezea moldova huko?
Umeambiwa anacheza Nyasa big bulletsHuyu sio yule alikuja na team ya malawi juzi kati hapa anachezea moldova huko?
ni Euro 300ThHiyo sini Euro 300 au naona vibaya
Hivi chikwende alienda wapiClub ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi [emoji1156] kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.
Source ni mimi mwenyewe.
Amini nilichopost hapo juu.Habari za usajili wa Simba siku hizi sio wa kuzipata jamii forum, muda ukifika watasema Nani kasajiliwa na Nani kaachwa, hizi habari za humu ni hatari Kwa Afya yako, mtakuja kukasirika bure Tu
Kidimbwi kwa majungu balaa 😀Huyu ni Chikwende Juniour.
Hiyo Th maana yake Nini?ni Euro 300Th
ThousandHiyo Th maana yake Nini?
Hakuna sababu ya kumnuofoaHans pope hawajamnyofoa tu pale simba