Hatimaye Simba Sc a.k.a Robo fainali fc yarejea nyumbani na kombe la "Kufa Kiume"

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.

Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"

Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"

Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali

Simba 'Guvu Moya'

IMG_20230429_200940.jpg
 
View attachment 2604018
Acha kuwauwa mwamba😂😂😂
 
Wananchi wenzangu tafadhali naomba tuwapumzishe Wana Simba, sote tu Watoto wa Baba mmoja "Tanzania".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni utopolo pekee atakayeidharau Simba kwa hatua iliyofikia.

Huko wenye akili ni wawili tu, wengine siwashangai kabisa.
 
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.

Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"

Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"

Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali

Simba 'Guvu Moya'

View attachment 2604018
🤣🤣🤣Wataendelea kuwa wanakufa kiume mpaka kiama uku wenzao wakiwa wanavunja kila aina ya rekodi!
 
Ni utopolo pekee atakayeidharau Simba kwa hatua iliyofikia.

Huko wenye akili ni wawili tu, wengine siwashangai kabisa.
Mbona mbumbumbu a.k.a kufa kiume FC a.k.a robo fainali FC a.k.a Makolo FC wanamdharau mwananchi a.k.a wakimataifa FC🏃🏃
 
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.

Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"

Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"

Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali

Simba 'Guvu Moya'

View attachment 2604018
Teh teh teh...... Mikia FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC bana.... hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom