John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.
Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"
Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"
Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali
Simba 'Guvu Moya'