John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Acha kuwauwa mwamba😂😂😂Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.
Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"
Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"
Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali
Simba 'Guvu Moya'
View attachment 2604018
Kwani umejuaje amesimama😂HUNA AKILI,. KAAA CHINI
Wananchi wenzangu tafadhali naomba tuwapumzishe Wana Simba, sote tu Watoto wa Baba mmoja "Tanzania".Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.
Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"
Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"
Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali
Simba 'Guvu Moya'
View attachment 2604018
Timu ya mchongo, inayotegemea ushirikina ni ngumu kupenya na kucheza nusu fainali.Wananchi wenzangu tafadhali naomba tuwapumzishe Wana Simba, sote tu Watoto wa Baba mmoja "Tanzania".
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Wataendelea kuwa wanakufa kiume mpaka kiama uku wenzao wakiwa wanavunja kila aina ya rekodi!Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.
Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na kombe la "kumeguka kiume"
Aidha tunashukuru uongozi kwa makombe mengi ya msimu huu, ikiwemo kombe la "kuifunga Yanga" na kombe la "kwenda kuweka kambi Dubai"
Hakika tuneona usajili wa wachezaji wa kimataifa kutoka Ulaya kama Baleke, Chama pamoja na Didier Drogba! Hakika viongozi mmeupiga mwingi! Hatuwadai chochote, Simba ni moto wa kuotea mbali
Simba 'Guvu Moya'
View attachment 2604018
Mbona mbumbumbu a.k.a kufa kiume FC a.k.a robo fainali FC a.k.a Makolo FC wanamdharau mwananchi a.k.a wakimataifa FC🏃🏃Ni utopolo pekee atakayeidharau Simba kwa hatua iliyofikia.
Huko wenye akili ni wawili tu, wengine siwashangai kabisa.
Wanajilaani wenyewe 🤔🤣🤣🤣Wataendelea kuwa wanakufa kiume mpaka kiama uku wenzao wakiwa wanavunja kila aina ya rekodi!
Teh teh teh...... Mikia FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC bana.... hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.