Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hatimaye klabu ya simba yafuzu kombe la mbumbumbu walioferi aisee kweli mwaka huu Kuna vichekesho wenzao yanga wapo klabu bingwa ya mabingwa wao wamefuzu kombe la walioferi wanashangilia kama wamechanganyikiwa Fulani hivi haya fikeni fainali Hilo kombe la walioferi maana ndio kipimo hongereni Simba mnazidi kuwa mambumbumbu
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024