Hatimaye Simba SC yafuzu kombe la walioferi(CAF Cofenderation cup)

Hatimaye Simba SC yafuzu kombe la walioferi(CAF Cofenderation cup)

Taadhari MAANDAMANO KESHO TAREHE 23.9.2024 mtapigwa sanaaaa** msijesema sija SEMA**
 
Hongereni mmezidi kuwa mambumbumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunywa maji mengi, afu pumzikaa, yakizidi sana muone daktariii.
Poleeee wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile Al Ahly Tripoli nimeona kumbe ni timu mbovu tu kwenye hii ligi ya mademu si ya kujivunia kuifunga, ngoja tukaone vyuma vya kuikanda Simba huko makundi kombe la wamama waliofeli.

Kipimo ni Simba mdebwedo kutinga fainali hilo kombe la rede la mademu si kuingia makundi!

Kwenye hayo makundi ya loosers lazima Simba ishike mkia, niko paleee maskani Buza Mpalanger nawazoom makolo tu!!

Leo saa mbovu imepatia majira, japo Yanga itaonesha panapovuja kule kolokoloni hapo October!!

Povu ruksa matusi hapana!!
Poleee kwa maumivuu, yatapunguaa tyuuh usijar.
Meza dawa 3, poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom