Hatimaye Simba SC yafuzu kombe la walioferi(CAF Cofenderation cup)

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Yes ni Bora Kwa walioferi
Leo kila lugha mtaongea

 
KOMBE la walioferi ongereni maana mnazidi kua mambumbumbu 🤣🤣🤣🤣
 
Ile Al Ahly Tripoli nimeona kumbe ni timu mbovu tu kwenye hii ligi ya mademu si ya kujivunia kuifunga, ngoja tukaone vyuma vya kuikanda Simba huko makundi kombe la wamama waliofeli.

Kipimo ni Simba mdebwedo kutinga fainali hilo kombe la rede la mademu si kuingia makundi!

Kwenye hayo makundi ya loosers lazima Simba ishike mkia, niko paleee maskani Buza Mpalanger nawazoom makolo tu!!

Leo saa mbovu imepatia majira, japo Yanga itaonesha panapovuja kule kolokoloni hapo October!!

Povu ruksa matusi hapana!!
 
Hongereni mmezidi kuwa mambumbumbu 🤣🤣🤣🤣🤣
Yan leo ni hivi ni mwendo wa kufufua makaburi kila lugha itaogewa leo🦁
 
Nilivyoona neno WAFUDHU kwenye heading yako hata sijataka kusoma ujinga uliouandika
 
Hongereni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…