Hatimaye st.joseph boom la pili majanga

Hatimaye st.joseph boom la pili majanga

Ndio matatizo ya kusoma vyuo vya ajabu ajabu..



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jaman hebu nisaidieni kidogo, mi nasoma SUZA, nilikwenda kuchukua boom la mara ya pili ktk first semister wamenambia jina langu halijasajiliwa, inakuaje apo wakat mara ya mwanzo nilipoingia chuo jina langu lilikuemo na sign nikaweka kuthibitisha nimepokea hilo boom? Pls kwa anaeweza kujua possible cause ya hii kitu, mana nimewauliza authorities ila wanamajib mabovu yakutia hasira.
 
Back
Top Bottom