Hatimaye supapawa Urusi yakiri kupoteza eneo la Robotyne

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na Vietnam, ni vita vya hapo hapo jirani kwake....................

Sept 6 (Reuters) - A Russian-appointed official has acknowledged that Moscow's forces have abandoned the Ukrainian village of Robotyne, more than a week after Kyiv announced its recapture.

Yevgeny Balitsky, the top Moscow-installed official in the Zaporizhzhia region, said in a television interview that the Russian army had withdrawn for what he called tactical reasons.

"The Russian army abandoned - tactically abandoned - this settlement because staying on a bare surface when there is no way to completely dig in... doesn't generally make sense. Therefore the Russian army moved off into the hills," news outlet RBC quoted him as saying.
 
Kila mara Urusi akizidiwa anasema ka "withdraw on tactical grounds " mwisho wa siku atasema kaondoka Ukraine kama mbinu ya kivita.
 

Wewe ni wa ajabu sana, hapo unaona anapambana na kainchi kadogo au anapambana na Marekani na washirika wake!
 
Taarifa ya mchongo kutoka buza
 
Wewe ni wa ajabu sana, hapo unaona anapambana na kainchi kadogo au anapambana na Marekani na washirika wake!
Anapambana na Ukraine, huyo Marekani na Washirika wake ni wewe unayewapiganisha hiyo vita?
Russia wenyewe wanajua na wanakiri kupambana na Ukraine, halafu wewe hapo bonyokwa ndiye uliyegundua kuwa anapigana na US na washirika wake? Kana ndivyo kwa nini haishambulii US au hata just Poland tu iliyopo pale karibu!?
 
Robotnye ndo mkoa gani mkuu
 
Ndio mana toka juzi Putin ana mpango wa kukodi silaha toka North Korea mazungumzo na Kim Jong hayaishi skuizi kumbe jamaa kashikwa kisawasawa maame
 
Siku akipambana na Marekani atafyekwa na kufutika kwenye uso wa dunia maana kainchi kadogo kamemlemaza Mrusi, siku zote nilikua naogpa sana Urusi kumbe bure tu.
Tena kamemfanya akaombe siraha N.korea πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„....Kaishiwa.... hakika wa- Ukraine wanamoyo haswa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…