Hatimaye supapawa Urusi yakiri kupoteza eneo la Robotyne

Sijajua umeandika nini maana waarabu wa Bongo kama mumepagawa vile, ila ukweli nilikua naiogopa sana Urusi miaka yote, yaani lafudhi ya Mrusi ilikua inanitisha sana, nilikuwa nawajua kama supapawa lakini kwa hiki wamefanyiwa na hako kainchi, mpaka leo siamini macho yangu.
Yaani supapawa anapelekeshwa moto, tena anafukuziwa na kainchi kadogo hapo jirani, bora hata ingekua umbali wa Marekani kwa Vietnam, huyu ni hapo hapo pembeni, hii ramani iwape aibu sana..

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
 
Ukrein kushinda vita ni ndoto za mchana,pamoja na misaada ya vifaa vya kivita na askari trained hashindi vita hii.
 
Mnasubiri kushinda gani kwingine, mlituaminisha kuwa Ukraine itafunikwa.
 
Sijajua umeandika nini maana waarabu wa Bongo kama mumepagawa vile, ila ukweli nilikua naiogopa sana Urusi miaka yote, yaani lafudhi ya Mrusi ilikua inanitisha sana, nilikuwa nawajua kama supapawa lakini kwa hiki wamefanyiwa na hako kainchi, mpaka leo siamini macho yangu.
Yaani supapawa anapelekeshwa moto, tena anafukuziwa na kainchi kadogo hapo jirani, bora hata ingekua umbali wa Marekani kwa Vietnam, huyu ni hapo hapo pembeni, hii ramani iwape aibu sana..

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
Uwezi kuelewa kinacho endelea kwa kwa kuwa uwezo wako wa ku-analyse masuala ya Geopolitical affairs is too dismal that is why - everything sounds Latin to you!!

Ngoja nikupe a free tutorial - kitu cha kwanza Taifa la Ukraine. ndilo kubwa sana in continental Europe save Russia, Ukraine ilikuwa na wanajeshi wengi ikizidiwa kidogo na Uturuki, walipewa silaha nzito na za kisasa pomoja na mafunzo ya kijeshi na NATO tangu 2014.Lengo likiwa kufanya a pre emptive strike against Russia wakitokea Ukraine kujaribu kuikomboa Crimea na South East Ukraine, sasa nini kilikuja kutokea baadae with their hyped Massive Counter offensive ambayo ime-prove kuwa abortive time and time again - Jeshi la Ukraine, some NATO troops including USA wakanyukwa kweli kweli na jeshi la Urusi hawazungumzii tena masuala ya counter offensive au hyped Main Battle Tanks game changer za Leopard,Challenger na Abram baada ya silaha za Urusi kuzitia kiberiti zote, wote. kimya kama maji kwenye mtungi.

Mtu wa ajabu kama wewe MK-254 kwa akili za kawaida unawenza kulinganisha land mass na population ya Taifa la Ukraine na taifa la North Viet ambalo marafiki zako walienyeshwa kwa miaka 20,mwisho wa wa siku wakashindwa vita na kuondoshwa kwa aibu kubwa - usitegemee hilo linaweza kuwapata Warusi huko Ukraine, Russia is HYPER POWER take it or leave it. Up2U.
Nimefufuka kama yevgeny RUSSIA [emoji635] taifa teule
 
Sheikh hujachoka kuandika hizi insha? Urusi supapawa alianza kufukuziwa tangu lile limsafara lilivyopigwa na wabeba, javelin, leo maeneo yanamtoka puani huku akiendelea kupoteza wanajeshi kwa maelfu.
 
Unafikiri wanao sema kwamba wakati mwingine ujisemea yanayo X your mind wanakosea??

Wajuzi wa masuala ya kijeshi wanakwambia msafara ulikuwa ni mbinu za jeshi la Urusi kuutumia kama Decoy ya kupumbaza jeshi la Ukraine wafikiri kwamba wanajeshi wa Urusi wanakuja kuuteka mji wa Kiev, kumbe hiyo ilikuwa geresha za kuwachota akili Majenerali wa jeshi la Ukraine ili wahamishe majeshi yao kutoka kusini mashariki na kuyaleta Kiev kwa lengo la kuimarisha ulinzi,, kitendo hicho kilifanya kusini mashariki mwa Ukraine kubakiwa na ulinzi wachache na hilo ndilo lilikuwa lengo la jeshi la Urusi na walifanikiwa.

Hivi inaingia akilini kweli kwamba wanajeshi 120,000 na zana zao za kivita wanaweza kuteka mji mkubwa wa Kiev wenye wakazi karibu million nne come on!!

Javelin mnazo zisifia hazina uwezo wa kushambulia kifaru zaidi ya kimoja at a go unlike Russian 4 muzzled Kornet jeeps, picha nyingi na video za jeshi la Ukraine zinazo onyeshwa kwenye mitandao ni silaha za Ukraine yenyewe zilizo shambuliwa na Urusi kwenye vita ya 2014/15, Ukraine ilipoteza silaha nyingi sana lakini hilo west hawalisemi.

Kitu cha kujiuliza hapa ni: Hivi huo msafara wote ulitikomea wapi?? Ukimuhoji swali hilo MK-254 atakujia na majibu lukuki, lakini ukweli wa mambo ni kwamba msafara huo ulipangiwa kukatiza Ukraine kwenda Belorussia na kuacha karibu zana zote za vita na wanajeshi huko huko Belorussia, lakini akina MK-254 atakujia na adithi nyingie tofauti. kabisa, sijasema kwamba baadhi ya wanajeshi wa Urusi hawakuuwawa huko Ukraine kwenye msafara huo au hawakupoteza baadhi ya zana zao lakini sio kivile, tulikuwa tunaona javeline zinalenga kifaru kimoja kimoja na sio kwawingi kusema kweli, walikuwa wanavizia kifaru kimoja kimoja sio kwa wingi uwezi kulinganisha Russion four barrels Kornet guided jeep anti tank missiles na a single fred American Javelin ATGM.
 
Dah he he he! Sheikh una nguvu kweli, hivi nani husoma hizi insha zako.
Anyway poleni, Putin aliwaingiza mkenge, mtaandika ila ndio hivyo, maeneo yanamtoka puani.
 
Kwani vita inapiganiwa wapi mpaka muda huu maana mimi mgeni hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vita sasa hivi inapiganiwa hata ndani ya Moscow, Urusi bwana mohamed.
Sikutegemea kuona supapawa anatikiswa kwake ndani kizembe hivi.
 
Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na Vietnam, ni vita vya hapo hapo jirani kwake....................

Sept 6 (Reuters) - A Russian-appointed official has acknowledged that Moscow's forces have abandoned the Ukrainian village of Robotyne, more than a week after Kyiv announced its recapture.

Yevgeny Balitsky, the top Moscow-installed official in the Zaporizhzhia region, said in a television interview that the Russian army had withdrawn for what he called tactical reasons.

"The Russian army abandoned - tactically abandoned - this settlement because staying on a bare surface when there is no way to completely dig in... doesn't generally make sense. Therefore the Russian army moved off into the hills," news outlet RBC quoted him as saying.
Anapambana na Wakoroni waliotunyonya na kutupelekea umaskini uliokithiri.
Kama haitoshi wamewanunua hili mtumike ktk propaganda za kuchafua ukombozi wa Dunia.
Tena wanataka Wanaume waoane hili Taifa liwe dhaifu.
 
Ukraine walikunyonya lini, miafrika bana, kale ni kainchi kadogo kamepambana dhidi ya mdhulumaji aliyejaribu kukaparamia.
Miafrika huwa tunaaminishana ujinga, ilhali sisi wenyewe ndio tumeshindwa kwa uzembe wetu tu, hizi hapa picha mbili za Lagos wakati wa mkoloni zaidi ya miaka 60 imepita na Lagos ya leo.

main-qimg-e3b041e2e8af618221131f998a12ea2d

main-qimg-5703c7f04700459048a1ffe358c75596
 
Back
Top Bottom