Halafu Rais wa wanyonge huku anatutoa kafara. Idiot kabisa 🤡.Yeye kajichimbia Chato.Kenya wanapima 5,000 kwa siku sisi miezi yote tumepima 600 tu. Jiwe jiwe kweli 😂
Walikua wanaona aibu. Ukiangalia majirani wanakupigia vipimo 1000+ kwa siku.Nilikuwa najiuliza mbona hawatoi chochote? Kumbe usanii mtupu watu wanajifia majumbani.