Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Tuelewane hapa
Takwimu zilizopo sio halisi
Wamepimwa wengi sana na + ni wengi sana na vifo ni vingi sana ila hazitangazwi
Wamepimwa wachache ila wanaokufa bila kupimwa au kupatiwa matibabu ndiyo shida mkuu.
 
Watu 652 na kati ya hao 480 positive aiseeee!!!
Hiyo imekuwa hivyo sababu hawapimi randomly bali wanapima wenye dalili na wale waliokutwa na ugonjwa wanapimwa waliokutana nao, Lazima iwe hivyo.

Ukweli ni kwamba wamepimwa watu wachache sana.
 
Mleta mada sielewi hasa lengo.lako mini? Mfano marekani huko iliko IMF na World Bank INA watu milioni 330 waliopimwa hadi sasa ni milioni saba tu watu miloni 333 hawajapimwa!!!
 
hii nchi mchawi wake ni ccm, ikitoka tu utaona nchi inakimbia mpaka tutashangaa,
ccm kila mtu yupo kuangalia wapi atainyonya nchi
Hama nchi, sisi tunapima wenye signs na symptoms za ugonjwa pekee, vipimo vyenyewe feki hivyo kumbe ndo maana vibaraka walikuwa wanapigia mayowe mass testing ili kuwatia taharuki watu as walishaelezwa na mabwana zao kwamba wametuletea vifaa feki, Magufuli kawaumbua.
 
Ndo hapo Rais analalamika kwa wananchi ..Wakati ana uwezo wa kujenga kiwanda. Tena alishatudhibitishia kuwa Tanzania ni nchi tajiri sana.

Wapi ambapo rais amelalamika kwa wananchi? Lini alisema atajenga kiwanda cha kupima Covid-19 toa ushahidi. kama huna ushahidi ndiyo majungu yenyewe. umeshindwa kujikinga na famila yako unakuja JF kulia nyau.
 
Hiyo imekuwa hivyo sababu hawapimi randomly bali wanapima wenye dalili na wale waliokutwa na ugonjwa wanapimwa waliokutana nao, Lazima iwe hivyo.

Ukweli ni kwamba wamepimwa watu wachache sana.

Unafikiri kupima ni sawa na kwenda kununua bagia?
 
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Ni kwamba kwa takwimu hizo kiwango cha maambukizi ni kikubwa. 73%
 
Back
Top Bottom