Hatimaye Tanzania imeruhusu KQ kuingia nchini humo

Hatimaye Tanzania imeruhusu KQ kuingia nchini humo

mungiki lazima tushukee.....binafsi nina project zangu apooo bombambili weekend nashukaaa vibaka labda wamenibia nondoo!
Kumbuka sisi hatujakataza binadamu yeyote kukanyaga Tanzania, nyie mlizuia kwa kuweka masharti ambayo sisi baba zenu hatutaki kuyasikia.

Tulizuia ndege zenu kufanya biashara
 
Si mlisema kuwa mtatucharaza viboko. Mlisema kuwa mtatufunza adabu. Mlisema KQ haitatua Dar hadi tupige magoti. Sasa tena mnasongeza goli. Baba yenu ukanda huu anajulikana
Kwani hatujawafunza adabu? Bado mnasema Tanzania ni hatari? Bado mmezuia na kuwaweka karantini watanzania? Bado mmetuzia tusije kwenu?

Tanzania imekuja kuomba mazungumzo na Kenya? Nyie mmeomba mara ngapi na mmepiga simu mara ngapi?
 
Baada ya Watanzania kupiga domo jana kuwa Tanzania haitaruhusu KQ kuingia humo hadi mwakani, Tanzania imeshindwa kungoja hata wiki moja ili kufunza Kenya adabu kama mlivyokuwa mkisema.

Yaani hata masaa 24 hazijaisha kabla Kenya kuruhusu malazy kuingia huku, tayari TZ imeruhusu KQ kuingia. Hio haraka ni ya nini? Hii inaonyesha kuwa Tanzania ni nchi yenye utoto sana. Mnanuna kila wakati. Si mngengoja hata wiki moja ili sisi Wakenya tupate adabu kama mlivyosema? Kenya babu yenu.

=======

Tanzania lifts ban on Kenyan airlines

Kenyan carriers will resume flights with immediate effect after Tanzanian regulator lifts ban.

Kenyan airlines can now fly to Tanzania

File | Nation Media Group

Kenyan airlines have finally been allowed to land in Tanzania, bringing an end to the airspace feud between the two countries.

This is after the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) announced that it had lifted the suspension that hit Kenyan airlines.

In a statement, TCAA director general Hamza Johari said the authority was acting on reciprocal basis after its Kenyan counterpart, the Kenya Civil Aviation Authority (KCAA), included Tanzania on a revised list of countries exempted from the 14-day mandatory quarantine upon arrival.

“In view of that and on a reciprocal basis, Tanzania has now lifted the suspension for all Kenyan Operators namely, Kenya Airways, Fly 540 Limited, Safarilink Aviation and AirKenya Express Limited,” TCAA director general Hamza Johari said.

Mr Johari said Kenyan carriers can resume of flights immediately.

Last month, Tanzania nullified its approval for Kenya Airways to land in the country with effect from August 1, 2020 after Kenya excluded it from a list of about 111 countries whose passengers are allowed to enter its territory without being quarantined for 14 days.

A few days later, Tanzania banned three more Kenyan carriers - AirKenya Express, Fly540 and Safarilink Aviation - from flying into the country as it piled pressure on Kenya to ease its Covid-19 travel restrictions.

The tit-for-tat between the two countries was precipitated by different approaches that they have taken to tackle the Covid-19 pandemic.

While Kenya has ranked Tanzania on its red list, the latter has always maintained that it is Covid-19 free.

Ati malazy!! Interesting to see those who are called lazy do contribute to the daily food in-take of the so called "hard workers"

Salimia Kikuyu highland, sitegemei kusikia pompous allegations toka kwa Luo, Luya and others!!
 
Si mlisema kuwa mtatucharaza viboko. Mlisema kuwa mtatufunza adabu. Mlisema KQ haitatua Dar hadi tupige magoti. Sasa tena mnasongeza goli. Baba yenu ukanda huu anajulikana
- Viboko tumewacharaza tayari mkalia, mkaomba msamaha tukakataa.

- Adabu tayari tumewafunza, tovukeni tena tuwafunze tena.

- Tulisema KQ haitatua Dar hadi mtupigie magoti, mlipiga magoti mara ya kwanza tukakataa, mkapiga tena mara ya pili (kuruhusu Watanzania kuingia kunyaland) ndio tukawakubalia.

Kenya ni mchumba tu kwetu!
 
Na mwenye takataka za huko mavumbini takatakaland yuasemaje kuhusu hili?
kalb hayawan.
Hujaeleweka kutokana ulichoandika sio lugha ya Kiswahili, ila tunataka kunua sababu ipi ilioifanya Kenya kuisafisha TANZANIA kua nchi salama
 
Hujaeleweka kutokana ulichoandika sio lugha ya Kiswahili, ila tunataka kunua sababu ipi ilioifanya Kenya kuisafisha TANZANIA kua nchi salama
Hapo pekundu....hicho ndicho Kiswahili eti?...haya basi
 
Back
Top Bottom