MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya wa sasa hamna kazi huko kwenye football, ni hamna walichotuzidi.Miaka yooote hii ndiyo tumekuja kuwapiku tena pamoja na kwamba hawajawa active sana kimataifa kwa muda mrefu na bado imechukua muda wote huu.
Kenya wanakuwaga serious zaidi kuliko sisi katika maeneo mengi ya kiuchumi, wakirudi kidogo tu, wanachukua nafasi yao.
Afcon Tanzania haiwezi kushinda mchezo wowoteHiyo sio nafasi yetu inabidi tupande hadi kwenye top ten so far so good
Tanzania iliyoshinda Jana imejenga statement kubwa sana maana ilikuwa na outsiders wawili pekee tena ambao kimsingi ni local walio advance
Huko afcon tukifika 16 Bora basi tunaweza kupanda zaidi
Umekariri kijanaMiaka yooote hii ndiyo tumekuja kuwapiku tena pamoja na kwamba hawajawa active sana kimataifa kwa muda mrefu na bado imechukua muda wote huu.
Kenya wanakuwaga serious zaidi kuliko sisi katika maeneo mengi ya kiuchumi, wakirudi kidogo tu, wanachukua nafasi yao.
Teargas, NairobiWalker n mwathadanView attachment 3156960
View attachment 3156962
View attachment 3156965
View attachment 3156963
Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
Ni jambo la kipuuzi kushangilia nafasi ya 106 kwakua tumeipiku Kenya ambayo Soka lao lilikua katika matatizo kwa muda mrefu.
Tunahitaji wadau wote wa soka kushirikiana kwa mbinu mabalimbali kutoka uku kwenye 100 tuelekee juu zaidi.
Tumemaliza kila kitu kivipi wakati hatujawahi hata kufika CAFCL hatua ya fainali, nusu fainali yenyewe ni toka 1970s. Huko AFCON tumeanza kwenda-kwenda ila hata kupata sare tu ni kimbembeKwangu kwa soka la Africa tumemaliza kila kitu. Taifa letu siyo kubwa Africa wala Duniani kisoka, mafanikio ya juu kabisa kwa nchi yetu katika soka itakuwa ni kupeperusha bendera kwenye Kombe la Dunia.
Ranking za FIFA ndiyo wanajua wanatumia vigezo gani ila kama mleta mada alivyosema, pamoja na kwamba hawakuwa active sana ila bado tulishindwa kuwapiku miaka yote hii. Hii itoshe kukwambia hatuna mafanikio kihiivyo kama tunavyojitapa.Umekariri kijana
Kenya sasa kwenye soka wanatuzidi nini?
Ligi yao ni kama imekufa, wachezaji wao pia wanataka kuja bongo
haiwezi kushinda we kama nanAfcon Tanzania haiwezi kushinda mchezo wowote
Kwaiyo kuwa juu ya Kenya ndio mafanikio ya TZ!!Nimepitia comment ya kwanza hadi hapa sijaona mdau yoyote aliyeshangilia. Mwenzetu hii post umeisoma vipi?
Katika hili kwanza kabisa napenda kumshukuru mh rais mama yetu dakta samia.View attachment 3156960
View attachment 3156962
View attachment 3156965
View attachment 3156963
Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?