Hatimaye TFF waipa Simba barua ya hukumu na kuwataka waende FIFA

Nendeni FIFA sio kwenye keyboard. Kama hujasoma kipengele kinachosema bodi ilifanya uchunguzi wake na kuwahoji watu mbalimbali, basi una matatizo.
 
Mbojo acha utani mkuu, mikia wanajulikana kitambo, Na hivi sasa wamejitwalia jina lingine Omba Omba FC a k a Matonya FC. Sasa waende FIFA kwa amani.
 
Huyu mtoa mada anatakiwa ahakikiwe vyeti kama sio vya utumishi basi huenda hata vya kuzaliwa vinashida, au kuoa huenda kagushi au vya uraia hakuna timu Tanzania inayoitwa mikia.
 
Kitu Mungu alitunyima Watz ni vya muhimu sana.... Honesty. .......Intelligency. .....Humanity. ....Understanding. ..... Patient. ...hakuna siku Watz wote watakuja kuja kusimama kwa pamoja kwenye kitu kimoja..cha msingi ni either simba or yanga. .,dai or kiba....ccm or ukawa.....bashite or pastor. ....lema or rc.....le mange or Le mkubwaz .....always 2 sides. ...yaani wazungu walituharibu...kwenye tactic yao ya divide and rule
 
Basi kama munakataa kuitwa mikia basi musiite wenzenu mikia. Maana mimi nawaona wote ni mamikia tu! Hakuna timu ya maana bila kupenyeza rupia.
 
Mtoa mada nina wasiwasi na akili yako, ukapimwe.
Hiyo ni timu gani?
 
Nashukuru kwa kubadilisha heading.Maana kuna watu wanaita wenzao mikia wakati wao nao ni mikia iliyofichwa na TFF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…