Hatimaye Treni ya Dar-Arusha imeumaliza mwendo. Ilisaidia sana changamoto ya usafiri, itakumbukwa na wengi

Haoni uchungu na mali za Tanganyika kabisa, ila kwa sasa kwao neema tupu, mpaka flyover, viwanja vya mpira kila wilaya bila kuwa na tija, wakati mahitaji makubwa ni huku bara
Chizi mmoja kutoka zenji hukoo
 
Wewe utakuwa hujui "business as usual".

Na huo ni mwanzo tu. Hata SGR inaweza isifike mbali!
 
Haoni uchungu na mali za Tanganyika kabisa, ila kwa sasa kwao neema tupu, mpaka flyover, viwanja vya mpira kila wilaya bila kuwa na tija, wakati mahitaji makubwa ni huku bara
Naamini unazungumzia Zanzibar! Zanzibar hakuna fly over mkuu. Mzanzibar akitaka kuyaona hayo makitu sharti atimbe Dar Es Salaam!
 
Haoni uchungu na mali za Tanganyika kabisa, ila kwa sasa kwao neema tupu, mpaka flyover, viwanja vya mpira kila wilaya bila kuwa na tija, wakati mahitaji makubwa ni huku bara
Aliyekuewa na uchungu si mlisema alikuwa mhutu. Nyie mbona mnakuwa vigeugeu?
 
Kama itakwamishwa kwa makusudi au uzembe, basi hata bwawa la Nyerere nalo halitamaliza tatizo la mgawo wa umeme. Itakuwa ni business as usual!
Nyimbo za kumaliza mgawo nimezisikia mda mrefu sana jiwe alijitahidi sana kwenye kujenga uwajibikaji ila kwa Sasa sidhani
 
Kazi pekee anayo weza 🐸 kiziwi ni kula na kunya tu
 
Mkurugenzi wetu ndugu Masanja Kadogosa anasemaje?
Kadogosa na Waziri Mbalawa wabebe lawama.
 
Sasa imekufaje kabla sijaipanda jamani? Naombea liwe ni suala la muda mfupi irudi kufanya kazi nami nipate experience hiyo.
Kama hujapanda pole sana, niliona huku huku ikabidi nipande asee lilikuwa na vibe sio masihara
 
Hilo sahau mkuu, umeme hautapungua changamoto wala bei, mkazo uko pale pale
Kama itakwamishwa kwa makusudi au uzembe, basi hata bwawa la Nyerere nalo halitamaliza tatizo la mgawo wa umeme. Itakuwa ni business as usual!
 
M
Mkurugenzi wetu ndugu Masanja Kadogosa anasemaje?
Kadogosa na Waziri Mbalawa wabebe lawama.
Kuu uzembe ni mkubwa serikalini tofauti na alivyokuwa mwenda zake
 
Natamani kuandika ila nikiwaza ya Sativa naona acha tu nikae kimya. Mama mitano tena
 
Haoni uchungu na mali za Tanganyika kabisa, ila kwa sasa kwao neema tupu, mpaka flyover, viwanja vya mpira kila wilaya bila kuwa na tija, wakati mahitaji makubwa ni huku bara
Ila Wana uchungu na watu kulipa Kodi ,kuzisimamia ni mtihani
 
Kwann usisuburi ruti ya Central na na kasikazini zote zitangazwe zimekufa ,punguza haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…