Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Baada Ya Kuwa Na Vitisho Kutoka Kwa Mwajiri Na Wajumbe Wa Chama Kilichokuwepo Cha Tpawu, Sasa Tuico Wamepewa Kibali Cha Kuwepo Kwny Ajira Ilyoanza Juzi.
Jamani Tunaomba Msaada Wa Kisheria Maana Kumekuwa Na Maneno Kuwa, Kama Chama Cha TPAWU kitakuwa na majority na kuendelea kuwa wawakilishi wa wafanyakazi, basi wafanyakazi watakaokuwa TUICO watakatwa michango mara 2, TPAWU NA TUICO, eti kwa sbb TPAWU italazimika kuwawakilisha wote, je iyo ni sheria?
Maana baadhi ya watu wanaogopa, please? Maana Ktk Ajira Ilyofanyika Wiki Ilyopita Kati Ya Watu 150, Tpawu Wamepata Watu 2 Tu, Wengne Wote Wameingia Tuico