14.5kHivi wewe umekuja juz tu jamii forum haujui nini kinaendeleaa na wewe unaamin hiyo ni account ya tundaa kweli tunda awe na followers 1.42K
Mkuu yaani uache kupata habari kisa hao machoko hapo dawa ni kwamba ukiona habari zinazo wahusu hao machoko wewe ni kuzipotezea tu!Tangu nilipoona ile clip wa wale vijana wa daslama wakifanya yao chumbani nimjiapiza kutoutumia tena mtandao Wa instagram
Toooobaaaah!!!!Ina blue tooth?
Mungu anakuonaHuyu ndio yule Tunda Man wa Tip Top?!
Biashara imani ujue !Ina blue tooth?
We kichwaNimeona kitu ambacho wengi hamjaona
Hapo hamna issue ya kuuza akaunti wala nini. . ..hapo kiujanja ujanja "amegawa namba yake ya simu "
Huyu ni mwenyeji sana JF sema anakumbwa na mabalaa na kujikuta anakula BAN daily inabidi aje upya kila mara., na ana mahaba kweli kweli na Tunda.Hivi wewe umekuja juz tu jamii forum haujui nini kinaendeleaa na wewe unaamin hiyo ni account ya tundaa kweli tunda awe na followers 1.42K
14.2k na anaowafollow ni 1900[/QUOTE
huu ujinga siwez fanya same to Kiba ajafollow mtu yeyote afu kuna watu wenye kiswede mswede na team zao wana follow [HASHTAG]#Sheeenzy[/HASHTAG]!! i hate insta
huu ujinga siwez fanya same to14.2k na anaowafollow ni 1900