Hatimaye Tunda aamua kuiuza account yake ya instagram

Hatimaye Tunda aamua kuiuza account yake ya instagram

Tangu nilipoona ile clip wa wale vijana wa daslama wakifanya yao chumbani nimjiapiza kutoutumia tena mtandao Wa instagram
Mkuu yaani uache kupata habari kisa hao machoko hapo dawa ni kwamba ukiona habari zinazo wahusu hao machoko wewe ni kuzipotezea tu!
 
Nimeona kitu ambacho wengi hamjaona

Hapo hamna issue ya kuuza akaunti wala nini. . ..hapo kiujanja ujanja "amegawa namba yake ya simu "
 
Biashara hapo ni yeye na sio hyo acc,na ndioa maana namba ipo kwa hewa,ngoja nimchek,dau lake sijui ni kiasi gani
 
Hivi wewe umekuja juz tu jamii forum haujui nini kinaendeleaa na wewe unaamin hiyo ni account ya tundaa kweli tunda awe na followers 1.42K
Huyu ni mwenyeji sana JF sema anakumbwa na mabalaa na kujikuta anakula BAN daily inabidi aje upya kila mara., na ana mahaba kweli kweli na Tunda.
 
Si kweli. Hiyo sio account ya Tunda. Kuna tapeli instagram ambae anasema anauza accounts halafu akishatumiwa pesa hatumi password inakuibia pesa. Nimeona watu wengi wanapost wakilalamika. Account ya Tunda ni hii hapa:-

db46f4b5d0a7a4cd9a94ba84b293d29a.jpg
 
14.2k na anaowafollow ni 1900[/QUOTE
huu ujinga siwez fanya same to Kiba ajafollow mtu yeyote afu kuna watu wenye kiswede mswede na team zao wana follow [HASHTAG]#Sheeenzy[/HASHTAG]!! i hate insta
 
Back
Top Bottom