Hatimaye Tuzo za Uganda-2016.Eddy Kenzo is the winner. Diamond No!!

Hatimaye Tuzo za Uganda-2016.Eddy Kenzo is the winner. Diamond No!!

Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,

Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
BET hakushinda African act/ nafikiri alishinda msanii chipukizi/ cjui choice kitu kama hicho...
mfatilie kidogo...
 
Hapa naongelea domo Mr misifa mnaosema kila tuzo lazima apate, sasa hajapata mapovuu yanawatokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Una ushabiki wa kifala sana uliokosa hoja, huyu vipi angeshinda angenuna kama hapa alifurahi sana ???
 
Sasa uandae tuzo nyumbani kwako na famila yako ya Watoto wawili....Best Dady of the year..Best Mom of the year..Best first born of the year...Best last born of the year....kisha mnafanya party baada ya familia nzima kuibuka washindi.
 
Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,

Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Naaam nakuelewa sana
 
Watu wanamkejeli domo wakati Tz nzima haijawahi kupata msanii aliyeipaisha nchi kama domo,alijisemeaga Mr.blue" bongo nyoso"!
 
Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,

Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Eddy Kenzo alishinda "Viewer's Choice Best New International Artist" kwenye BET ambayo hakukuwepo na davido wala Diamond kwenye hyo category.
Ile BET yenyewe "Best African Act" akachukua mzee mwenyewe davidoo
 
Kabati la Mondi limejaa ma Mtv na tuzo kibao huyo eddy kenzo acheni nae apate kdogo"
 
Ok sawa kama ameshinda na wanauwakika kashinda haina shida ilaa kama hakushinda!!!
 
Hahaaaa... Team kibaa!! Poleni kwa kusindwa.
 
Back
Top Bottom