princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
BET hakushinda African act/ nafikiri alishinda msanii chipukizi/ cjui choice kitu kama hicho...Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,
Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Hahaaa wabongo bhana hapo et kisa domo hajapata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo uone ajabu we tuzo zimepewa jina la nyumban afu mtu toka nje ya nyumba achukue hapo tunadanganyana hao wengine wamewekwa geresha tu hamna lolote
Kwani kiba kapata .......... au hujui kama na yeye alikuwepo ??Hahaaa wabongo bhana hapo et kisa domo hajapata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa naongelea domo Mr misifa mnaosema kila tuzo lazima apate, sasa hajapata mapovuu yanawatokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani kiba kapata .......... au hujui kama na yeye alikuwepo ??
Una ushabiki wa kifala sana uliokosa hoja, huyu vipi angeshinda angenuna kama hapa alifurahi sana ???Hapa naongelea domo Mr misifa mnaosema kila tuzo lazima apate, sasa hajapata mapovuu yanawatokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naaam nakuelewa sanaMnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,
Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
Eddy Kenzo alishinda "Viewer's Choice Best New International Artist" kwenye BET ambayo hakukuwepo na davido wala Diamond kwenye hyo category.Mnaomponda Eddy Kenzo mkumbuke Jamaa Kashnda hadi BET,.
Tena alikua contested Mara Moja Tu Akashinda Mbele Ya Akina Davido.,
Huyo Diamond Kawa Contested Mara Mbili Zote Kapgwa chini.
umeona eeeehhh!!!Hahaaa wabongo bhana hapo et kisa domo hajapata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
bas msilalamike waungwana!!Kabati la Mondi limejaa ma Mtv na tuzo kibao huyo eddy kenzo acheni nae apate kdogo"
Mkuu sina maana hiyoHahaaa wabongo bhana hapo et kisa domo hajapata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante mkuu maana watu ukiongea kitu utasikia oh kisa vileKwani kiba kapata .......... au hujui kama na yeye alikuwepo ??