Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

yeah niliiona Boeing 777 ya BA uwanjani jana, kumbe ndio ilikuja kuwabeba
 
G.sam unajua kusoma kilugha chao hao walioondoka au unaropoka tu. Bas soma hapo juu uelewe. Nani kawalipia nauli na kwanini wameondoka na ikiwa wameondoka Tz pekee.

Isitoshe Zanzibar pia imewarejesha nyumbani raia 52 wa Tanzania waliokuwa Uarabuni kujikinga na Corona.


Kila kitu kwenu ni siasa, hata akijamba mbuzi mtatafuta namna ya kuhusianisha na siasa
 
Ukweli ni kwamba wazungu hawataki kurudi kwao labda watoto ambao ni students ambao wako interns ila ambao wako hapa na full time job they dont want to hear repatriation all they need is to stay, i have a vivid examples one of them is my boss he is an american but doesn't want to hear repatriation regardless of temporarily closing of the office
 

Huyo Member uliyemtaja hapo ndiyo nani Kwako na anahusikaje na Kimahusiano na hii ID yangu? Umemtaja hapa ili iweje?
 
Huyo Member uliyemtaja hapo ndiyo nani Kwako na anahusikaje na Kimahusiano na hii ID yangu? Umemtaja hapa ili iweje?
Duuuuuh kazi kweli kweli.

Nimemuita asome hiyo ulopost.
 
Hao ni wale work permit illisha ila Mabeberu wengi hawataki kurudi kwao kwa sasa.
Come on man. Umekagua work permit zao na kuona muda umeiisha? Na muda wa work permit ukiisha hakuna utaratibu wa kuongeza?
Iwe walioondoka hawana valid work permit au la, Waingereza wamesema kuwa wanawaondosha raia wake nchini kwa sababu maisha yao hapa Tanzania si salama; kirusi kimesambaa sana. Danes nao wamewapa tahadhari raia wao kam hiyo, na kupitia kwao, dunia nzima.
Uongo, unafiki, na kujipendekeza ndivyo vimetufikisha hapa tulipo
 
Safi sn Tanzania ni htr coz hatuchukui hatua zozote na wataalamu wanaosema kitaalamu wote wanafukuzwa kazi.....pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…