Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
Na sisi wa kwetu kule India tuliwarudisha ndio walikuwa raia wa mwisho kurudi Tanzania toka India.

Je, uliwaona? Na Je, ulikuja hapa JF kuwaanzishia uzi?

Mambo mengine ya kipumbav na kinafiki. So, akiwaondoa nini cha maana zaidi unakiona hapo? Unaondoa watu sehemu walipokufa makumi au mamia unapeleka sehemu walipokufa makumi elfu. Does this click in your mind?
 
Wale walikuwa wamekwama kule hawana hata chakula kajitolea mfanyabishara akalipia ndege ikaenda kuwachukua. Hakuna serikali iliyowajibika!
Kwa hiyo hawa wamelipiwa nauli na serikali ya uingereza ama!!

We jamaa kilaza kweli
 
Huko kwao korona inatafuna balaa, muhimu ni kutubu dhambi na maovu na kumrudia Mwenyezi...
 
Na sisi wa kwetu kule India tuliwarudisha ndio walikuwa raia wa mwisho kurudi Tanzania toka India.

Je, uliwaona? Na Je, ulikuja hapa JF kuwaanzishia uzi?

Mambo mengine ya kipumbav na kinafiki. So, akiwaondoa nini cha maana zaidi unakiona hapo? Unaondoa watu sehemu walipokufa makumi au mamia unapeleka sehemu walipokufa makumi elfu. Does this click in your mind?
Aliwarudisha tajiri mmoja hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wale work permit illisha ila Mabeberu wengi hawataki kurudi kwao kwa sasa
Magu anasema uchumi wetu ni muhimu kuliko chochote kile?any way sema tu corona yenyewe haiko fair
 
Acha waende kwao, wametuachia watanzania uwanja mpana wa KUITOKOMEZA CHADEMA NA UPINZANI UCHWARA KWA UJUMLA!
Kweli kwenye ujinga tupo vizuri sana .anyway kama corona iko fair utaniambia,tuombe uzima
 
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
wacha wajiondokee zao tu.... huku kwetu wamejaa merchants of death tu!
 
Kila mtu ashinde mechi zake tukutane kwenye hesabu tuuu, simba damu damu
 
Back
Top Bottom