Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

Kejuu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
645
Reaction score
906
Wakuu,

Habari za asubuhi,

Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake.

Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown haitasaidia kuondoa ugonjwa huu, bali jamii waukabili tu kama magonjwa mengine ya mafua.

Soma hii: Top UK health adviser admits lockdowns won't make Covid disappear & society will have to ‘manage it like the flu’

R.I.P hayati Magu, ulikuwa unaona mbali sana, our hero and genius president we had ever seen in our life. I still doubt your death wasn't a natural one, somewhere rogue elements were behind it.

Best,
Kejuu
 
Mtoa hoja acha unafiki na uchoyo wa ukweli,Uingereza haijatamka hivyo na wala haifuati yaliyotekelezwa na mwendazake,vaccines ndiyo njia kuu na wewe endelea kulinda afya yako,mask,social distance,nawa mikono kwa sabuni kwenye maji tiririka na pls isolate yourself unapoona una dalili za covid 19.
 
Kweli MATAGA hamna aibu kujilinganisha na UK
 
Tangawizi, vitunguu saumu na pilipili kichaa Sasa kuchukua nafasi ya chanjo na kujifukiza Sasa kunachukua nafasi ya ventilator Uingereza
Ungetumia akili kidogo usinge andika hili.
Kama hao watu wanatumia chanjo lakini bado wanaona tatizo wewe unaebisha si utakua kichaa?

Tazama hawazungumzii tena chanjo bali lockdown kitu amabacho kilishindwa zamani.
Kama chanjo ingekuwa suruhu kwa nini waseme wapambane nalo kama mafua?
 
Kawaida ya corona inawataka wabishi kama wewe ili iwakamue
 
Ungetumia akili kidogo usinge andika hili.
Kama hao watu wanatumia chanjo lakini bado wanaona tatizo wewe unaebisha si utakua kichaa?

Tazama hawazungumzii tena chanjo bali lockdown kitu amabacho kilishindwa zamani.
Kama chanjo ingekuwa suruhu kwa nini waseme wapambane nalo kama mafua?
Kasome comment yangu vizuri na uielewe ukioanisha na kichwa cha habari
 
Mtoa hoja acha unafiki na uchoyo wa ukweli,Uingereza haijatamka hivyo na wala haifuati yaliyotekelezwa na mwendazake,vaccines ndiyo njia kuu na wewe endelea kulinda afya yako,mask,social distance,nawa mikono kwa sabuni kwenye maji tiririka na pls isolate yourself unapoona una dalili za covid 19.
Nimekuta na hii habari uko nimecheka mpaka bas
Screenshot_20210401-190244.jpg
 
Wakuu,
Habari za asubuhi,
Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake.
Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown haitasaidia kuondoa ugonjwa huu, bali jamii waukabili tu kama magonjwa mengine ya mafua (Top UK health adviser admits lockdowns won't make Covid disappear & society will have to ‘manage it like the flu’ Top UK health adviser admits lockdowns won't make Covid disappear & society will have to ‘manage it like the flu’).

R.I.P hayati Magu, ulikuwa unaona mbali sana, our hero and genius president we had ever seen in our life. I still doubt your death wasn't a natural one, somewhere rogue elements were behind it.

Best,
Kejuu
Yani meko kafa ila bado mnamtukuza tuu? Tena kafa kwa hio korona yako aliyoifuata nyayo zake
 
Acheni kumwota Magufuli mda wote. Jambo hili lilishasemwa toka wave ya kwanza toa upumbavu wako hapa.
 
Back
Top Bottom