Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

Kuhusiana na chanjo na mabarakoa hawajafuata nyayo za mwendazake bado?
 
JPM alikuwa Kiongozi bana kwny Misimamo

Hii Corona ingekuja wakati wa Samia na Liberata Mulamula saa hizi tungekuwa tushadungwa chanjo na Mi lock down ya kufa mtu

Samia angekuwa rais wa awamu ya 5 Kijazi + JPM + Mahiga + ndugu na jamaa zetu wengi walio aga dunia kwa sababu ya kirusi huyu wangekwa hai leo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Uliisoma ripoti za madaktari au ndio oya oya?

Ina magonjwa mengine yapo likizo yame pumzika kuua?
Samia angekuwa rais wa awamu ya 5 Kijazi + JPM + Mahiga + ndugu na jamaa zetu wengi walio aga dunia kwa sababu ya kirusi huyu wangekwa hai leo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hii mada ingekua ya kuponda mawazo ya Hayati ingekua inakimbiza mno hapa JF
 
Uliisoma ripoti za madaktari au ndio oya oya?

Ina magonjwa mengine yapo likizo yame pumzika kuua?
Labda kwa sasa corona imekuwa ni tiba ya magonjwa mengine kama malaria, ukimwi, BP, kisukari, ajali, nk.
 

JPM WAS A HERO. RIP JEMBE LETU
MATAGA mwaka huu lazima mtagishwe tu.
Sasa hivi tupo kwenye maombolezo ya JPM hivyo tuliza akili zako.

Mwache mwendazake apumzike
 
Kumbuka hawa watakuwa wamechanja na hiivyo no need ya lockdown maana they will not develop severe disease, nor hospitalization, sas katika hali hiyo why lockdown?
Huyo mleta uzi bado yupo kwenye njozi za hapa kazi tuuu
 
Mbona Seif kafa kwa korona? Au wewe unaishi maisha mazuri hapo kariakoo kuliko makamo wa kwanza mwenye kin’gora?
Jitoe tu ufahamu
Hapo ndio kwenye utata,yani kwanini corona iwe inawapata hao viongozi ila inawaacha hawa wazee huku mtaani kwenye vijiwe vya kahawa? maana hawa wazee huku mitaani ndio wanajichanganya zaidi kuliko hao viongozi, sisemi hakuna corona ila ni wazi kuna kitu hatujakijua bado kuhusu hichi kinachoitwa corona. Kuna watu nawajua ambao wako makini na kujikinga na corona ila ndio wanaugua hiyo corona ila hawa wasiochukua taadhari ambao wengine ni wazee na wana magonjwa yao hatuoni kuugua.
 
Samia angekuwa rais wa awamu ya 5 Kijazi + JPM + Mahiga + ndugu na jamaa zetu wengi walio aga dunia kwa sababu ya kirusi huyu wangekwa hai leo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Hoja kama hiyo ndio maana mnaambiwa kuwa huko Ulaya na America kwenye lockdown na tahadhari zote ila bado wanakufa,waziri mkuu wa uingereza nusu afe halafu wewe unasema sijui Kijazi na Magu wasingekufa.
 
Pengine mzungu mwenzao watamsikiliza, covid19 hakuna nchi inayosema kweli , wote ni wababaishaji na makampuni kufanya biashara, ila kwa kuwa sisi waafrica ni watu kubeba chochote kitokacho western ukikipinga au kutoa tahadhari utaitwa majina yote, mimi kipindi cha corona niliwahi kuishi na mchina aliyetoroka china Wuhan kipindi Janga hili linatokea, nilikuwa naishi na mchinese, one Pakistan Malaysia kwa siku nne, baadae mpakistan alienda kutoa taarifa kwenye kampuni ikabidi sisi tutolewe twende kuishi hotelini for 2 weeks tukimsubiri jamaa apone, kwa maelezo ya mchinese siku tunatoka usiku mchina joto liliongezeka hadi kufikia degree 40, alikuwa ana tetemeka sana na kutoa taarifa admin wakampeleka hospital na alikuwa ameandika wosia tayari, alikaa hospital for 4 days akarudi normal, akarudi apartment na sisi tukapimwa tukarudi, nimekaa lock down for 5 months , baada ya hapo nikapewa barua ya kusafiri kuja Tz kuona familia nikashukia Nairobi nikaingia Tz kwa border ya Namanga, nikiwa na masks watu walinishangaa sana njiani Tz ikabidi ni live na kutupa kule , Nina zaidi ya miezi nane si hawa hi vaa masks na kila siku niko mitaani, yaani corona naisikia humu humu jamiiforums, kama kuna miujiza basi nimeiona Tz, humu tunapinga hivi tulivyo lakini wote humu tukienda mitaani hatuvai masks ni wazima tu, sijajua what's happening in Tz.
 
Unachokiongea kina usahihi kabisa na hata mimi nilishaliona.

Ila korona ipo na inaua.
Kwa utafiti wangu binafsi naweza kukuambia mapafu yako ya mtu unayeshinda kariakoo huwezi kuyafananisha na ya mama samia ambaye muda wote yapo kwemye kiyoyozi.
Hata siku moja hayawezi kuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…