Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

MATAGA mwaka huu lazima mtagishwe tu.
Sasa hivi tupo kwenye maombolezo ya JPM hivyo tuliza akili zako.

Mwache mwendazake apumzike

yalikua maono yake pia mda mrefu kabla hata wengine hawajakubaliana nae
 
Kumbuka hawa watakuwa wamechanja na hiivyo no need ya lockdown maana they will not develop severe disease, nor hospitalization, sas katika hali hiyo why lockdown?
who knows whats next kama mwanzo ndo huu watu hawataki ata kuiskia
 
Nani wakubali? Ni mjinga tu atakayesifia approach ya marehemu ilisababisha mamia ya vifo na mpaka yeye akafa kwa corona.
Point ni kwamba tunaishi nayo tu kama magonjwa mengine ambayo nayo yana sababisha mamia ya vifo,tungekuwa tunaokota miili barabarani hapo kweli ila sasa tunaishi nayo tu.
 
Nani wakubali? Ni mjinga tu atakayesifia approach ya marehemu ilisababisha mamia ya vifo na mpaka yeye akafa kwa corona.

kwahio magufuli alikufa kwa corona? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ni bora nlihamaga upinzani mapema sana
 
Sasa hivi MATAGA tulieni tuwagonge spana vya kutosha

we bdala ukampige spana mwenye kiti wenu ambae anaongoza mwaka wa 20 sasa na hataki kuguswa mnahangaika na watu wenye vitambi
 
Sasa hapo nyayo gani za jiwe zimefuatwa.Nilidhani wafuasi wa jiwe mngetokomea kusikojulikana baada ya masiha wenu kurudi mavumbini lakini nashangaa bado mpo tu mnachangamana na sisi wafuasi wa mama.
 
Kitu ambacho hujui ni kuwa corona ukiibeza basi inaanza kukubandua wewe

toka corona imeanza sjawahi kuvaa mask, sjawahi kupata any effects za corona na nafanya check up mara kwa mara! we vaa barakoa usije aga mapema
 
toka corona imeanza sjawahi kuvaa mask, sjawahi kupata any effects za corona na nafanya check up mara kwa mara! we vaa barakoa usije aga mapema
Nakuombea ikufyekeleeee mbali
 
Point ni kwamba tunaishi nayo tu kama magonjwa mengine ambayo nayo yana sababisha mamia ya vifo,tungekuwa tunaokota miili barabarani hapo kweli ila sasa tunaishi nayo tu.
🀣 🀣 🀣 🀣Mpaka uokote miili barabarani ndiyo uone watu wanakufa? Kweli akili za watu wengine ni vigumu kuelezea! Sasa kama kuna magonjwa mengine yanasababisha mamia ya vifo huoni ni vizuri kutoongeza tena vifo vingine vinavyoweza kuepukika? Anyways marehemu alikuwa anabeza hivi hivi na kusema mbona wazungu wanakufa, sijui tutaishi nayo kama tunavyoishi na magonjwa mengine matokeo yake ikaja kumwondoa na yeye.
 
kwahio magufuli alikufa kwa corona? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ni bora nlihamaga upinzani mapema sana
Wanaosema Magufuli alikufa kwa corona ni wapinzani? Akili zetu mmempa nani awashikie? Wapinzani ndiyo walimuambukiza virus? Upumbavu mwingine bwana. Haya alikufa kwa ugonjwa wa moyo. Furahia sasa!
 
Za kudhiaki Barakoa, Chanjo na kufunga siku tatu au za Kupiga Nyungu
 
Wanaosema Magufuli alikufa kwa corona ni wapinzani? Akili zetu mmempa nani awashikie? Wapinzani ndiyo walimuambukiza virus? Upumbavu mwingine bwana. Haya alikufa kwa ugonjwa wa moyo. Furahia sasa!

uliosababishwa na nn? report ya madaktari wa nairobi hospital inasema alikufa na nn? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
cha ajabu sasa alikufa na wengine wote tutakufa hata ukijikuta unagombania sjui upinzani haikukwepeshi kufa, you will die also
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…