macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
We are talking about covid and the best way to manage it dude! We cannot ignore it because we have to die as all living things do! Why we go to the hospitals when we are sick then... Unakuwa kama wale Wasadikika ambao Shaaban Robert aliwazungumzia kwenye kitabu cha Kusadikika! Walikuwa wanaona hakuna umuhimu wa kujenga nyumba za aushi eti kwa sababu maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo kujenga nyumba za aushi ni hasara tupu!sasa kama kila mtu atakufa na unajua whats so special na magufuli kutangulia?? kwamba wewe uliebaki ndo utaishi milele ama? ndo mbowe anavowaambia?
We are talking about covid and the best way to manage it dude! We cannot ignore it because we have to die as all living things do! Why we go to the hospitals when we are sick then... Unakuwa kama wale Wasadikika ambao Shaaban Robert aliwazungumzia kwenye kitabu cha Kusadikika! Walikuwa wanaona hakuna umuhimu wa kujenga nyumba za aushi eti kwa sababu maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo kujenga nyumba za aushi ni hasara tupu!
Hao wanaojaribu kwa jitihada zote kupambana na huu ugonjwa bado tunaona wanakufa na tunasikia maambukizi yanazidi maana yake ni kwamba sisi ambao hatuchukui tahadhari kama hao wenzetu(kiasi kwamba wewe unadai kuwa sisi tunakufa kwa mamia) basi hadi sasa tungeshafikia hatua ya hospitali kuzidiwa wagonjwa au hata kuokota miili barabarani kama ambavyo mwanzoni wengine walifikiri hivyo kwa kuangalia kilichotokea huko ulaya na uduni wa huduma zetu za afya.
Tatizo lipo kwenye uhalisia wa hali ya huo ugonjwa wenyewe ni tofauti na vile mnavyotaka tuhamaki. Hizi story za kudai mamia ya watu wanakufa Tz kwa corona zipo toka mwaka jana,sasa jinsi ugonjwa wenyewe ulivyo na unavyoambukiza kwa kasi halafu iwe kwamba mamia ya watu wanakufa toka mwaka jana hivi kweli hali ingekuaje hivi sasa? mara ngapi tunaona mikusanyiko ya watu kama juzi kati kwenye kuaga mwili wa Magufuli ila hatuoni kwamba matukio hayo huongeza wingi wa wagonjwa au vifo huku uraiani.
BTW what is ''our own way''? The foolish way? Usituletee utapiamlo wako wa akili na useme ''our''. Ni wapumbavu wachache tu ndiyo wanaona hivyo. Wewe na wachache. Anyways, yule aliyekuwa anawajaza uinga ameshaondoka mambo yatabadilika soon, penda usipende.we have decided to go with our own way whats wrong with that? kwan lazima WHO iwe right all the time
BTW what is ''our own way''? The foolish way? Usituletee utapiamlo wako wa akili na useme ''our''. Ni wapumbavu wachache tu ndiyo wanaona hivyo. Wewe na wachache. Anyways, yule aliyekuwa anawajaza uinga ameshaondoka mambo yatabadilika soon, penda usipende.
Unaona wenye utapiamlo wa akili walivyo kama mwendazake kichwani. Kwanza lockdown maana yake ni nini? Ni wabongo wengi wanaopenda sana kulikariri na kulitumia hili neno lakini maana hawajui. Haya elezea kwa kifipi sana maana yake ni nini?ungekua umeshajiweka lockdown mwenyewe so far mpaka sasahv kama hauendi na agenda ya magufuli, but as long haupo lockdown then nyamazisha hua msabwanda
Unaona wenye utapiamlo wa akili walivyo kama mwendazake kichwani. Kwanza lockdown maana yake ni nini? Ni wabongo wengi wanaopenda sana kulikariri na kulitumia hili neno lakini maana hawajui. Haya elezea kwa kifipi sana maana yake ni nini?
Yabadilike tu ila watanzania hawatobadilika watabaki kuwa walewale tu.BTW what is ''our own way''? The foolish way? Usituletee utapiamlo wako wa akili na useme ''our''. Ni wapumbavu wachache tu ndiyo wanaona hivyo. Wewe na wachache. Anyways, yule aliyekuwa anawajaza uinga ameshaondoka mambo yatabadilika soon, penda usipende.
...And I can assure you one thing. After few says you goner call yourself idiot. Thing are changing so fast... soon our covid-19's foolish Magufuli's utopia will be things of the past so do yours!save off my time
Siasa za covid zinabadilika thanks God tunaachana na upumbavu waliokuwa wamejazwa watanzania wengi kama wewe. Chanjo zinakuja, mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu.Yabadilike tu ila watanzania hawatobadilika watabaki kuwa walewale tu.
...And I can assure you one thing. After few says you goner call yourself idiot. Thing are changing so fast... soon our covid-19's foolish Magufuli's utopia will be things of the past so do yours!
Nimekwambia mabadiliko kwenye serikali lazima tu yafanyike ila watanzania wataendelea kuwa vilevile hawatobadilika,tatizo watu mnashindwa kuelewa mnafikiri hivi walivyo watanzania kuhusiana na covid ni kwa sababu ya Magufuli.Siasa za covid zinabadilika thanks God tunaachana na upumbavu waliokuwa wamejazwa watanzania wengi kama wewe. Chanjo zinakuja, mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu.
Kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni kwa sababu ya uongozi. Kuna hatua alipaswa kuchukuwa. Ni nyingi tu na haziusiana na tabia za watu. Anyways ni vizuri sasa mabadiliko yanakuna hivyo tuone ni nini kitafanyika.Nimekwambia mabadiliko kwenye serikali lazima tu yafanyike ila watanzania wataendelea kuwa vilevile hawatobadilika,tatizo watu mnashindwa kuelewa mnafikiri hivi walivyo watanzania kuhusiana na covid ni kwa sababu ya Magufuli.
Ingekuwa hivyo hadi sasa tusingekuwa tunaona vikao vyao bila hata barakoa tena ndani ya ikulu,sasa sijui utasema kwamba anasubiri hadi aunde hiyo sijui kamati ndio ifanye uchunguzi na kuwaambia waanze kuvaa barakoa? Yule mama waziri wa mambo ya nje nilimuona kavaa barakoa wakati alipoenda kuapa bungeni ila alipoenda kuapa dodoma hakuvaa barakoa na hata leo pia hakuvaa barakoa,hapa kinachota kufanywa ni kurudisha tu mahusiano mazuri tu Kimataifa ila si kwamba yupo serious na covid.Haya umemsikia Raisi wako alicho kisema leo kuhusu Corona it means Jiwe alikuwa Analipeleka Taifa shimoni .
MATAGA kweli akili hamna yaani mlikuwa mna interact kabisa ule ujinga wa Jiwe !? [emoji3][emoji3]
Hadi leo huyo Mama pamoja na wasaidizi wale hawajavaa hata barakoa hivyo ni wazi hicho kitakachokuja kufanyika ni kuwafurahisha tu wazungu kama wafanyavyo Kenya huko.Kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni kwa sababu ya uongozi. Kuna hatua alipaswa kuchukuwa. Ni nyingi tu na haziusiana na tabia za watu. Anyways ni vizuri sasa mabadiliko yanakuna hivyo tuone ni nini kitafanyika.
[emoji3][emoji3]Ngoja nikuache kwanzaIngekuwa hivyo hadi sasa tusingekuwa tunaona vikao vyao bila hata barakoa tena ndani ya ikulu,sasa sijui utasema kwamba anasubiri hadi aunde hiyo sijui kamati ndio ifanye uchunguzi na kuwaambia waanze kuvaa barakoa? Yule mama waziri wa mambo ya nje nilimuona kavaa barakoa wakati alipoenda kuapa bungeni ila alipoenda kuapa dodoma hakuvaa barakoa na hata leo pia hakuvaa barakoa,hapa kinachota kufanywa ni kurudisha tu mahusiano mazuri tu Kimataifa ila si kwamba yupo serious na covid.
Hamna cha ujinga tokea watangaze third wave kwa nchi za ulaya ,nchi nyingi za Ulaya zimeandamana kupinga Lockdown.Haya umemsikia Raisi wako alicho kisema leo kuhusu Corona it means Jiwe alikuwa Analipeleka Taifa shimoni .
MATAGA kweli akili hamna yaani mlikuwa mna interact kabisa ule ujinga wa Jiwe !? [emoji3][emoji3]