St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Huyu mbongo ndo nani?? Mnampigia promo kiasi hiki??Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu vingine kama hivyo
View attachment 403702 Huyu ni Selena Gomez
View attachment 403704Huyu ni Tunda
View attachment 403705
View attachment 403706
View attachment 403708
View attachment 403709
View attachment 403710
View attachment 403711
View attachment 403712
View attachment 403713
View attachment 403714
Ningukuwa ninajua unapokaa ningekuambia ana kwa anaUsipende kutukana watu pasi na sababu ya msingi si uungwana hata kidogo , alafu vile vile ni dalili ya uoga ukiweza nitukane tukiwa ana kwa ana ntakuona bonge la shujaa
Barida mdogo wangu siyo kesi wala nn, kama vp jikataeNingukuwa ninajua unapokaa ningekuambia ana kwa ana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunda kuna jamaa anaitwa Mtanashati anakuzimia sana mpe anachokitaka.
Mi sasa hivi nikiona tu tunda najua ni mtanashati yaan anahangaika huyo kila mda afu ushangae hata hajui jinsi ya kumuanzaNilijua tu hii thread atakua hance hivi c umtokee tu uyo binti uwez jua
Mm shabiki nguli wa huyu mtoto na si vinginevyoMi sasa hivi nikiona tu tunda najua ni mtanashati yaan anahangaika huyo kila mda afu ushangae hata hajui jinsi ya kumuanza
Hamna Shunie ni ushabiki tu, na kumuelewa pia na si vinginevyoNilijua tu hii thread atakua hance hivi c umtokee tu uyo binti uwez jua
Sawa team tunda [emoji28]Hamna Shunie ni ushabiki tu, na kumuelewa pia na si vinginevyo
HahahhhMi sasa hivi nikiona tu tunda najua ni mtanashati yaan anahangaika huyo kila mda afu ushangae hata hajui jinsi ya kumuanza
Inakoelekea jf itakuwa siyo ya great thinkers tena
Ushabiki tu kama wale wanaoweka special thread kwa watu wanaowaelewa, mbona kuna mdau kafungua special thread kwa ajili ya rayvan kwan naye analipwa??Mara kwa mara umekuwa ukiweka hapa thread ya Tunda!
Amekulipa sh. Ngap? Maana kwa promo hii unayompigia daily ni hatari
Yaah kweli kabisa yawezekana wadau wengi hawajui celebrities forum kazi yake nnKuna majukwaa na majukwaa mkuu!