Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu vingine kama hivyo



View attachment 403702 Huyu ni Selena Gomez


View attachment 403704Huyu ni Tunda



View attachment 403705




View attachment 403706



View attachment 403708




View attachment 403709



View attachment 403710





View attachment 403711




View attachment 403712




View attachment 403713



View attachment 403714
Huyu mbongo ndo nani?? Mnampigia promo kiasi hiki??
 
Usipende kutukana watu pasi na sababu ya msingi si uungwana hata kidogo , alafu vile vile ni dalili ya uoga ukiweza nitukane tukiwa ana kwa ana ntakuona bonge la shujaa
Ningukuwa ninajua unapokaa ningekuambia ana kwa ana
 
Mara kwa mara umekuwa ukiweka hapa thread ya Tunda!

Amekulipa sh. Ngap? Maana kwa promo hii unayompigia daily ni hatari
 
Mara kwa mara umekuwa ukiweka hapa thread ya Tunda!

Amekulipa sh. Ngap? Maana kwa promo hii unayompigia daily ni hatari
Ushabiki tu kama wale wanaoweka special thread kwa watu wanaowaelewa, mbona kuna mdau kafungua special thread kwa ajili ya rayvan kwan naye analipwa??

Pia kuna wengine huko nyuma walifungua special thread kwa ajili ya diamond na mwingine alifungua special thread kwa ajili ya king majuto

Hiyo ndio kazi ya celebrities forum
 
Back
Top Bottom