lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 296
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,huu mchezo hauitaji hasiraKila siku Tunda Tunda hivi Tunda ni nani yaani anafanya kazi gani?
Ilishapoteza uelekeo toka miaka ya 2011.trus me! !Inakoelekea jf itakuwa siyo ya great thinkers tena
Sina team bali namuelewa tu, mfano naweza nikawa naongelea maisha ya Bill Gates kuanzia alipo anzia mpaka sasa ,je napo utaniita team Bill Gates??Sawa team tunda [emoji28]
Sawa hanceSina team bali namuelewa tu, mfano naweza nikawa naongelea maisha ya Bill Gates kuanzia alipo anzia mpaka sasa ,je napo utaniita team Bill Gates??
Umepotea mkuu nenda jukwaa husika linalozungumzia biashara na uchumi,Kila sku tunda tunda ndo maana Tanzania maskn maana hautuwaz vya msingi
Nenda jamii intelligence utapata unachokitakaIlishapoteza uelekeo toka miaka ya 2011.trus me! !
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]naona mapichapicha tu sijaelewa chochote
Yaah wanaume wa dar tumefanyaje?Wanaume wa Dar na Dodoma tena
Kila jukwaa lina kazi yake kaka na pia kila mtu ana utashi wake ,kama wewe utashi wako ni siasa nenda jukwaa la siasa usilazimishe kila mtu awe mpenzi wa siasaWatanzania ndo tunachokiwaza hicho,alafu JPM akitunyoosha tuna kasirika...
Pumba na utumbo haungalii JukwaaNenda jamii intelligence utapata unachokitaka
Sawa nimekuelewaPumba na utumbo haungalii Jukwaa
Kabla sija ku like niambie upunda ndio maana yake nn??hance mtanashati naona mtoto upunda umemfaa lkn mwambie apunguze kdg life style ya kujiachia vijana wa magu wako makini sana na mapunda cc petit man