Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Hahahah umepataje muda wa kuandaa hii makala. Umechambua picha vzr sana big up sana.

Next time ufanye shughuli za maana.
 
Kila sku tunda tunda ndo maana Tanzania maskn maana hautuwaz vya msingi
Umepotea mkuu nenda jukwaa husika linalozungumzia biashara na uchumi,
na kuhusu umaskini labda peke yako siyo wote usipende majumuisho
 
Watanzania ndo tunachokiwaza hicho,alafu JPM akitunyoosha tuna kasirika...
Kila jukwaa lina kazi yake kaka na pia kila mtu ana utashi wake ,kama wewe utashi wako ni siasa nenda jukwaa la siasa usilazimishe kila mtu awe mpenzi wa siasa


Kwanza kwenye siasa kwenyewe tushazibwa mdomo inafika mahali mtu una dukuduku lako lakini unashindwa kulisema kwa kuwa ukisema kidogo tu jela inakuhusu sasa kama hali ndiyo hiyo ya nini tuendelee kushabikia siasa hali ya kuwa wana siasa wenyewe hawana habari na sisi, wanachojali ni familia zao pekee
 
Sijawah kumwamini kijana yoyote wa kinondoni kati. Sijui kwanini!! Kama kuna mwana saikolojia mzuri nisaidieni namba yake nimpigie.
 
Back
Top Bottom