Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
mtu anayebeba unga na tunda ndio kazi yake alipumzuka nowdays ameanza tenaKabla sija ku like niambie upunda ndio maana yake nn??
Naona ombi lako limesikika...kashakula bani yake lainiiii....😀😀😀huu upuuzi unaharibu JF.kwanini asifutwe kabisa badala ya ban?
hapana ,niliweka avatar ya banNaona ombi lako limesikika...kashakula bani yake lainiiii....😀😀😀
Ila na wewe ulikula yakwako midamida hivi...hahaha.........😛😛😛
ninazo mkuuhance mtanashati Haha dah! namba zake bado huna ! Unitumie
PoaUnajipigia promo ujafikia kiwango cha kukulinganisha na Selena Gomez
PoaUnastahili ban
Usimsingiziemtu anayebeba unga na tunda ndio kazi yake alipumzuka nowdays ameanza tena
20Oi wadau hivi tunda anamiaka mingapi??????!??
Kweli kama baba yakodogo utakuwa choko wewe si bure