Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Hatimaye ukweli wabainika, Tunda na Selena Gomez ni mapacha

Kichwa cha habari hakisanifu yalioandikwa ndani ya habari. Labda selena gomez wa kinondoni
 
huu upuuzi unaharibu JF.kwanini asifutwe kabisa badala ya ban?
Naona ombi lako limesikika...kashakula bani yake lainiiii....😀😀😀

Ila na wewe ulikula yakwako midamida hivi...hahaha.........😛😛😛
 
Huyu Tunda anafanya shughuli gani mjini ? Ni manager wapi na, kafika kidato cha ngapi?
 
Naona ombi lako limesikika...kashakula bani yake lainiiii....😀😀😀

Ila na wewe ulikula yakwako midamida hivi...hahaha.........😛😛😛
hapana ,niliweka avatar ya ban
 
Back
Top Bottom