Uchaguzi 2020 Hatimaye Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge Tanga Mjini kupitia CCM

Mbona huyu hatumbuliwi kama makonda, au huyu siyo mteule?
Waliotumbuliwa ni mpango wa mwenye nchi
 
Huyo kashashinda mapema tuu,yule wa CUF hamna kitu pale.
 
Wanasema tujiajiri mbona wao hawataki kujiajiri wawe mfano na wakati wana mitaji ya kutosha? amelipwa pension juzi lakini bado anautaka ubunge.
 
Wana Tanga tegemeeni neema kama Ummy akiwa Mbunge wetu,zaidi kama Magufuli akipita Urais,Vile Magufuli anamkubali Ummy basi ataleta neema

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli uzuri upo machoni pa mtu. Dada hata tako la kuazima hana ana kalio tu
Mbona mwanamama yupo sawa kabisa mkuu, anatia hamasa kabisa mtoto.
 
Labda waibi kura , Tanga na Mwanamke wapi na wapi?
eboo!
Yani pwanbi waongozwe na mwanamama?
thubutu
upinzani hata wakwieka JIWE bila makndokando CCM-Ummy Ashindi,


Lakini huo ni mtazamo usio sahihi !

Inabidi wabadili mitazamo yao!

Wao waangalie uwezo wake wa kufanya kazi kwa bidii bila kujali jinsia, dini, itikadi n.k

Wanawake wapo majembe pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…