Uchaguzi 2020 Hatimaye Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge Tanga Mjini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Hatimaye Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge Tanga Mjini kupitia CCM

nini cha muhimu alichofanya kinachothibitisha anafaa kuwa mbunge wa Tanga?.
Ubunge tusiufanye kama kazi ya kupeleka taarifa tu bungeni, Pia tujitahidi wabunge wawe na akili zakuanzisha au kutatua baadhi ya matatizo yetu kabla ya kuitegemea serikali..
 
Labda waibi kura , Tanga na Mwanamke wapi na wapi?
eboo!
Yani pwanbi waongozwe na mwanamama?
thubutu
upinzani hata wakwieka JIWE bila makndokando CCM-Ummy Ashindi,

Makamu wa Rais wa Tanzania ni mwanamke! Sembuse Mbunge wa Tanga!!!
 
Ama kweli uzuri upo machoni pa mtu. Dada hata tako la kuazima hana ana kalio tu
Hajajiumba kaumbwa Mungu usikosoe uumbaji wa Mungu aliyeviona vyote ni vizuri machoni pake na kumpendeza wewe ni nani hata ukosoe
 
nini cha muhimu alichofanya kinachothibitisha anafaa kuwa mbunge wa Tanga?.
Ubunge tusiufanye kama kazi ya kupeleka taarifa tu bungeni, Pia tujitahidi wabunge wawe na akili zakuanzisha au kutatua baadhi ya matatizo yetu kabla ya kuitegemea serikali..
Koona wa Tz mwisho wa matatizo hapo hata Dai akisema agombee watampa ukiwauliza sababu mwimbaji maarufu
 
nini cha muhimu alichofanya kinachothibitisha anafaa kuwa mbunge wa Tanga?.
Ubunge tusiufanye kama kazi ya kupeleka taarifa tu bungeni, Pia tujitahidi wabunge wawe na akili zakuanzisha au kutatua baadhi ya matatizo yetu kabla ya kuitegemea serikali..
Kwa sasa naona watabaki kupiga makofi tu ngoja tuone
 
Nenda kwa kina Mama Salma Kikwete,Halima Mdee,N.K utaziona zipoje
Mkuu nimefuatilia sijaona hiyo tasfiri ya nuru au utofauti baina yao.

Bw. Mshana ameeleza ni facial expressions au kiroho zaidi bado naangalia watu hapa sielewi, au nuru ni mtu kuonekana mwenye furaha na bashasha usoni?
 
Alafu moderator acheni tabia za kubadilisha nyuzi za watu... Mm cku weka Cv ya Mheshmiwa hapo iweje muweke adi personal details??
 
Alafu moderator acheni tabia za kubadilisha nyuzi za watu... Mm cku weka Cv ya Mheshmiwa hapo iweje muweke adi personal details??
Kwani kuna shida gani.
Si hio inasaidia kwa wasiomjua kumfahamu zaidi.

Mimi sioni ubaya. Ingekuwa sifa mbaya ndio isingefaa.
 
Hizo CV ni mbwembwe tu hazina maana yoyote, wengi wana rundo za makaratasi tu lkn wakiwa huko ccm ni vigumu sana kuwatofautisha na wale wa darasa la saba.

Wanachotakiwa kufanya huko ccm ni kuunga mkono hoja kazi ambayo haihitaji mtu ajue hata kkk sasa kwa mazingira hayo CV inasaidia nini.

Kuwa na hizo CV za makaratasi na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti kabisa, tuliona kwa akina Papa Gregory III, akina Archimedes, akina Newton, akina Paschal na baadaye akina Bill Gates, Mark Zuckerberg nk ambao hawakuwa na hayo makaratasi lkn falsafa zao ndio leo zinaendesha hii dunia.

Waafrika ndio wanahusudu sana makaratasi kuliko akili ndio maana wao wakitaka kuajiri hudai hayo makaratasi badala ya ujuzi.
 
Back
Top Bottom