Labda waibi kura , Tanga na Mwanamke wapi na wapi?
eboo!
Yani pwanbi waongozwe na mwanamama?
thubutu
upinzani hata wakwieka JIWE bila makndokando CCM-Ummy Ashindi,
Umeshamtamani nakuona ole wako [emoji23]Da Ummy mzuri Jamani Mashallah.
Kilo la Heri kwake.
Acha uzushi bwasheeUyo ndio mumewe? Basi ndiomana kanyang'anywa na mzee baba
Sana tuTOTO LIMEPENDEZA LAKINI LICHAMA LAKE LIBAYA
Hapana chief msogelee kwa nyuma utaniambiaMbona mwanamama yupo sawa kabisa mkuu, anatia hamasa kabisa mtoto.
Mimi ni nani hata nidiriki kumtamani.Umeshamtamani nakuona ole wako [emoji23]
Hajajiumba kaumbwa Mungu usikosoe uumbaji wa Mungu aliyeviona vyote ni vizuri machoni pake na kumpendeza wewe ni nani hata ukosoeAma kweli uzuri upo machoni pa mtu. Dada hata tako la kuazima hana ana kalio tu
Mshana hata weweeeee[emoji848][emoji24][emoji24]Hana nuru usoni pamoja na wapambe wake
Nenda kwa kina Mama Salma Kikwete,Halima Mdee,N.K utaziona zipojeSamahani mkuu,
Hivi nuru huonekana vipi usoni au ni vitu gani vitamtambulisha mwenye nuru usoni?
Aiseeee nilikuwa sijuiWana Tanga tegemeeni neema kama Ummy akiwa Mbunge wetu,zaidi kama Magufuli akipita Urais,Vile Magufuli anamkubali Ummy basi ataleta neema
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Koona wa Tz mwisho wa matatizo hapo hata Dai akisema agombee watampa ukiwauliza sababu mwimbaji maarufunini cha muhimu alichofanya kinachothibitisha anafaa kuwa mbunge wa Tanga?.
Ubunge tusiufanye kama kazi ya kupeleka taarifa tu bungeni, Pia tujitahidi wabunge wawe na akili zakuanzisha au kutatua baadhi ya matatizo yetu kabla ya kuitegemea serikali..
Kwa sasa naona watabaki kupiga makofi tu ngoja tuonenini cha muhimu alichofanya kinachothibitisha anafaa kuwa mbunge wa Tanga?.
Ubunge tusiufanye kama kazi ya kupeleka taarifa tu bungeni, Pia tujitahidi wabunge wawe na akili zakuanzisha au kutatua baadhi ya matatizo yetu kabla ya kuitegemea serikali..
Nimefanyaje? Nimejadili kiroho sio kisiasa ndugu yanguMshana hata weweeeee[emoji848][emoji24][emoji24]
Mkuu nimefuatilia sijaona hiyo tasfiri ya nuru au utofauti baina yao.Nenda kwa kina Mama Salma Kikwete,Halima Mdee,N.K utaziona zipoje
Mimi ni mpenda tako maridhawaHajajiumba kaumbwa Mungu usikosoe uumbaji wa Mungu aliyeviona vyote ni vizuri machoni pake na kumpendeza wewe ni nani hata ukosoe
Kwani kuna shida gani.Alafu moderator acheni tabia za kubadilisha nyuzi za watu... Mm cku weka Cv ya Mheshmiwa hapo iweje muweke adi personal details??
...kaimaliza Corona Tz..😂😂Amefanya yepi ya kuthibitisha hicho usemacho?