Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Nimecreate account wamenipa namba 7777777777777777 CVV 000 Wale wazee wa kuhack kazi kwenu!
 
Bila shaka, inakubali mkuu. Kupokea malipo bado ni changamoto kwa hapa Tanzania
Bora wametuondolea usumbufu wa PayPal.
Vipi usalama wa mzigo?
Posts ni waaminifu wa kutosha?
 
Fursa hiyo, hio ni nafasi ya kuwa bilionea
wazawa hatupewi vipaumbele, atatokea mtu baki na hiyo idea atapewa mkopo na mabenki yetu na atafanikisha hilo, wakati sisi tukitoa idea hizo tunaonekana wehu.
 
sijaona mtu akilielezea hili suala....ina maana ni kwako tu mkuu ndo inagoma?
 
Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
expiry date huwa inaandikwa mwezi na mwaka tu. haina date. ukicheki vizuri format utaona wameweka (MM/YY)
 
Binafsi mimi nimependa sana hii teknolojia ya Virtual Card, kwa upande wa expire naona wameipa card hii muda mfupi sana, kingine cha kufurahia ukitoa pesa kwenye mpesa ya kawaida kwenda M-Pesa master card ni bure kabisa! Big up kwa Vodacom hii teknolojia imekaa mahali pake na kweli yajayo yanafurahisha, zile foleni za kwenda BancABC au sijui Equity bank zitapungua unatengeneza kadi fasta fanya payment shughuli inakuwa imeisha.
 
Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
Tumia PC, utafanikiwa.
 
Mimi pia nimeipenda hii
 
Mushi92,
Kwa parcel ndogo zinazokuja na registered air mail haulipi kodi. Kuna gharama za shipping utalipia wakati wa kuweka order.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…