MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,813
- 2,188
Wakuu nimefanya manunuzi Dondosha APP kununua magazeti kwa kutumia mastercard, majibu niliyopata ni hayaView attachment 878313naomba ufafanuzi wakuu
Kinachotakiwa ni mpesa siyo akaunti ya benkimimi wa NMB sitapata huduma?
Tatizo haujahamisha hela kutoka m-pesa kwenda m-pesa MasterCard.
pesa yako haitoshi.
ni kama kiasi gani za kitanzania zilikatwa na mpesa kwenye hiyo dollar 25?Hii ishu imerahisisha sana maisha. Nimejiunga mchana. Jioni hii nimelipa dollar 25 google play kwa kuitumia. Voda wametisha. wafanye tu kuitangaza.
Niliweka 65 baada ya kutuma ikabaki kama 5000+. Rate ya dola nimesahau.ni kama kiasi gani za kitanzania zilikatwa na mpesa kwenye hiyo dollar 25?
step za kuhamishia pesa mastercard mkuu..maana mie nisha tengeneza mastercard tayari..nataka ku purchase ebay nimechoose payment kwa mastercard nimejaza kila kitu ila nadhani inakuwa kama salio hamna hv inanionyesha hvHapana, hela unaweka through M-PESA, then unaiamishia kwenye M-Pesa MasterCard.
Lipia bili > m-pesa Mastercard, utaona sehemu ya kuweka pesa kwenye Mastercard.step za kuhamishia pesa mastercard mkuu..maana mie nisha tengeneza mastercard tayari..nataka ku purchase ebay nimechoose payment kwa mastercard nimejaza kila kitu ila nadhani inakuwa kama salio hamna hv inanionyesha hvView attachment 879731
ni kama kiasi gani za kitanzania zilikatwa na mpesa kwenye hiyo dollar 25?
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
naomba hili swali lijibiwe.Haya ndo mambo tunataka sasa, Jev vipi kulink hio Virtual card na paypal inakubali mana Sellers wengi amazon na ebay wanapokea via PayPal, na vipi kuhusu kupokea malipo kwa PayPal imeanza au bado?
Mimi nimejaribu hii kitu Kwa kuweka Tsh.15200 na nikanunua kitu cha USD 6.06 AliExpress na wamekata tsh tsh.14422.33 nikabakiwa na tsh 777.67.nafikiri wanaweka dola 25 bure mi nimefanya miamala bila kuweka imekubali ebu wakuzi waje kutuambia ni vipi apo iyo ela tunarudisha vipi
naomba hili swali lijibiwe.