Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Wakubwa mi nimejaribu kutumia kwenye alliexpress inazingua tu daah, sjui niconnect tu na equity
 


Hapo pa kujaza na Card holder na surname selewi nijaze nini please wajuzi
 
simamajuu,
Card yako ina jina gani? Maana yake weka jina ambalo likitumika kusajiri hiyo Card, kama unaitwa Masau bwire jaza kama umeazima kwa jirani weka jina lake
 
Card yako ina jina gani? maana yake weka jina ambalo likitumika kusajiri hiyo Card, kama unaitwa Masau bwire jaza kama umeazima kwa jirani weka jina lake
Me nimetumia hiyo ya Voda so naandika majina nayo tumia M-Pesa?
 
Yap, na mm ninanunua huko huko ebay ingawa delivery inachelewa sometimes.
Mkuu naomba nisaidie kidogo katika manunuzi pale unapotakiwa kuonyesha njia ya kupokelea mzigo mbona inalimit tu post adress badala hata ya dhl
 
Makato makubwa mnoooo. Ukifanya malipo ya 1M unakatwa karibu lak 2
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…