Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Kuna kifaa nataka kununua online tatizo kuna mambo ya kujaza kabla ya ku comfirm payment kama vile
Streetadress
postcode
Na kama huna sanduku la barua je namba ya simu pekee inatosha?
 
Kuna kifaa nataka kununua online tatizo kuna mambo ya kujaza kabla ya ku comfirm payment kama vile
Streetadress
postcode
Na kama huna sanduku la barua je namba ya simu pekee inatosha?
jina nchi mkoa namba ya cm vinatosha kabisa go ahead
 
Kuna kifaa nataka kununua online tatizo kuna mambo ya kujaza kabla ya ku comfirm payment kama vile
Streetadress
postcode
Na kama huna sanduku la barua je namba ya simu pekee inatosha?
Namba ya simu lazima iwe sahihi sanduku la barua jaza hata la kijiji kanisa au msikiti mzogo lazima ukachukulie posta na hawaweki kwenye boksi so sanduku halima maana saana mie natumiaga la kazini.
 
Ngoja nijaribu Leo
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
 
Namba ya simu lazima iwe sahihi sanduku la barua jaza hata la kijiji kanisa au msikiti mzogo lazima ukachukulie posta na hawaweki kwenye boksi so sanduku halima maana saana mie natumiaga la kazini.
Kwahiyo sanduku la posta ni lazima uwe nayo
 
Jaman kuna mtu yeyote kafanishika kushanya Online lähmend kwa kutumia nyoa hii ...
Pls tufahamishane ..natka nijaribu now
 
nilikuwa naomba kujua kuwa ni kuweka tu au ni kutoa pia
 
Sielewi hii pesa unaituma kwanza kwenye account namba uliyotengenez au uniweka kwenye mpesa card ili ufanye malipo nilijaribu kuweka pesa kwenye mpesa master card lakini menu ya kukomfirm kuweka salio inachelewa
 
Wapo ovyo Sana hawa.
Mwanzo nilitumia fresh Ila baada ya mwezi ika expire na baada ya ku-renew inagoma kuingiza pesa!!
Kila nikijaribu napata ujumbe "your card expired" wacha niendelee na BancABC Kuliko Hawa wasiojitambua!!
 
Sielewi hii pesa unaituma kwanza kwenye account namba uliyotengenez au uniweka kwenye mpesa card ili ufanye malipo nilijaribu kuweka pesa kwenye mpesa master card lakini menu ya kukomfirm kuweka salio inachelewa

Baada ya kuweka pesa kwenye M-Pesa inakupasa ku-deposit kwenye M-Pesa MasterCard.
 
na je kama sija wai kuweka pesa ila nataka kutoa inafaa. nikiwa na maana natoa pesa mtandaoni naingiza kupitia hiyo process.
 
M pesa mastercard inauwezo wa kupokea pesa kama umeweka namba zake sehemu inayohitajika kutoka nje ya nchi.hata kama ni dollars bila kulink na paypal
 
Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
Hapana mkuu pale unajaza mwezi halafu mwaka no mbili za mwisho.mf expire date ni 2/5/2019 uta andika hivi 05/19
 
Back
Top Bottom