Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jina nchi mkoa namba ya cm vinatosha kabisa go aheadKuna kifaa nataka kununua online tatizo kuna mambo ya kujaza kabla ya ku comfirm payment kama vile
Streetadress
postcode
Na kama huna sanduku la barua je namba ya simu pekee inatosha?
Namba ya simu lazima iwe sahihi sanduku la barua jaza hata la kijiji kanisa au msikiti mzogo lazima ukachukulie posta na hawaweki kwenye boksi so sanduku halima maana saana mie natumiaga la kazini.Kuna kifaa nataka kununua online tatizo kuna mambo ya kujaza kabla ya ku comfirm payment kama vile
Streetadress
postcode
Na kama huna sanduku la barua je namba ya simu pekee inatosha?
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
Kwahiyo sanduku la posta ni lazima uwe nayoNamba ya simu lazima iwe sahihi sanduku la barua jaza hata la kijiji kanisa au msikiti mzogo lazima ukachukulie posta na hawaweki kwenye boksi so sanduku halima maana saana mie natumiaga la kazini.
Sio lazima uwe nalo unaweza jaza lolote unalofahamuKwahiyo sanduku la posta ni lazima uwe nayo
Hii ni risk, ni heri kama hana asijaze kabisa. Kuliko kumwambia ajaze lolote.Sio lazima uwe nalo unaweza jaza lolote unalofahamu
na unaweza kutoa pia au ni kuweka tuHapana, hela unaweka through M-PESA, then unaiamishia kwenye M-Pesa MasterCard.
Baada ya kuiweka kwenye MasterCard unaweza kuirudisha kwenye ac ya m-pesa bila shida.na unaweza kutoa pia au ni kuweka tu
Wapo ovyo Sana hawa.Sielewi hii pesa unaituma kwanza kwenye account namba uliyotengenez au uniweka kwenye mpesa card ili ufanye malipo nilijaribu kuweka pesa kwenye mpesa master card lakini menu ya kukomfirm kuweka salio inachelewa
Sielewi hii pesa unaituma kwanza kwenye account namba uliyotengenez au uniweka kwenye mpesa card ili ufanye malipo nilijaribu kuweka pesa kwenye mpesa master card lakini menu ya kukomfirm kuweka salio inachelewa
Hapana mkuu pale unajaza mwezi halafu mwaka no mbili za mwisho.mf expire date ni 2/5/2019 uta andika hivi 05/19Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
FNB account rahisi sana kuilink na skrilll na ukihamisha ela toka fnb to skrill ni dakika chache inasoma
ndio kiurahisi kabisaJe playstore inawezekana?