Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

Mbigirikavu

Senior Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
101
Reaction score
118
Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC.

Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu, mtaalamu wa kuwasoma wapinzani, na wachezaji wanne:
  • Washambuliaji wawili.
  • Kiungo mkabaji.
  • Beki wa pembeni.

Source: Sports Arena

Tusubiri tuone aina ya makocha na aina ya wachezaji.

Screenshot_20221120-145543.jpeg
Screenshot_20221120-145430.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleteni manzoki, beki wa kati, beki wa pembeni na kiungo mkabaji.
 
Walete wafungaji tu, mabeki wanatosha.
 
Simba mnashinda 5,4 sasa mna haja gani ya kuboresha kikosi?
Jibu ni kuwa mmeona hizo figisu zenu hazina faida..
Sasa Mnafikiria na nyie mwende ki uhalisia kama sisi,tuliwaambia siku nyingi usajiri bora unalipa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Ko usajili wenu bora ndo umefanya mtolewe klabu bingwa?
 
Back
Top Bottom